Laiti kama tungekua na ubabe wa kiarabu, hakuna timu ngeni ingetamani kuja kucheza Kwa Mkapa

Laiti kama tungekua na ubabe wa kiarabu, hakuna timu ngeni ingetamani kuja kucheza Kwa Mkapa

Hatupo pabaya sana ukilinganisha na nchi nyingine za Sub Sahara. Club ndizo naona hazija organise mashabiki kushangilia vizuri kwa sababu watanzania wanapenda mpira haina mfano.
 
Hatupo pabaya sana ukilinganisha na nchi nyingine za Sub Sahara. Club ndizo naona hazija organise mashabiki kushangilia vizuri kwa sababu watanzania wanapenda mpira haina mfano.
Yap Mika si mingi tutafika huko
 
Nani yupo tayari kutoa 25000 yake kwenda kununua hizo smoke flares/bombs ikiwa kiingilio cha 5000 tu mtihani?
 
Klabu kama klabu ni lazima itambue wahamasishaji wa ushangiliaji kiwanjani. Ikiwezekana wapewe hata posho then wawe wanagawa hayo mabendera makubwa bure na ikiwezekana kusaidia kuwanunulia vifaa vya ushangiliaji kama vile zile ngoma kubwa,spika n.k

Pia kuwe na utaratibu wa pamoja wa ushangiliaji, kama nyimbo na pia style ya kushangilia

Klabu ziteue section ya jukwaa iwe special kwa kushangilia tu yaani mashabiki hakuna kukaa chini ni full kusimama na kushangilia mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom