Klabu kama klabu ni lazima itambue wahamasishaji wa ushangiliaji kiwanjani. Ikiwezekana wapewe hata posho then wawe wanagawa hayo mabendera makubwa bure na ikiwezekana kusaidia kuwanunulia vifaa vya ushangiliaji kama vile zile ngoma kubwa,spika n.k
Pia kuwe na utaratibu wa pamoja wa ushangiliaji, kama nyimbo na pia style ya kushangilia
Klabu ziteue section ya jukwaa iwe special kwa kushangilia tu yaani mashabiki hakuna kukaa chini ni full kusimama na kushangilia mwanzo mwisho