Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Soma Pia:
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa.
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.

- Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa
- Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa