Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

Serikali iliangalie hili,hata wale walioshiriki olympic,sio kama ndio wanaoshinda marathon za ndani,wako waliokuwa wameshinda marathon za ndani na hawakwenda olympic,sijui wametumia vigezo gani...
 
Hizi taasisi ni miradi ya watu
 
Back
Top Bottom