Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

UMENENA MKUU
 
 
UMEL0GWA ET LIZER yuko kwenye peak!!
 
ni kweli Bob juniour alitisha Sana, pamoja name sheddy clever na tudd
mabeat ya Bob junior hayachuji
 
Watanzania watu wa ajabu sana.Wanatoa maelekezo huku hana uwezo hata wa kumlipa mfagiaji wa ofisi pale wcb.
 
We kweli unatokea kanda maalumu yani kigoma alipotoka Laizer, sasa mwambie laizer aende shule ya uproducer
Laiza ni down to earth tunafahamiana sana maana nae ni mteja wa "wajasiriamali" ambiance
 
kama kungekuwa na uwezo wa kufuta nyuzi, basi huu uzi wako ungeufutilia mbali.. maana si kwa hits songs za lizer kwa kweli..[emoji854][emoji854]
 
Kigoma Music University (KMU) coming soon....
 
lizer kilaza kwel na beat zak kam za msibaaa yan kiukwel ladha ile ile tu uwezo hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…