Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

1.NANA PRODUCED BY NAHREEL
2.NUMBER ONE,NTAMPATA WAPI PRODUCED BY SHED CLEVER
3.MDOGO MDOGO PRODUCED BY TUDD THOMAS
4.KESHO NKUPELEKE NYUMBANI BY MARKO CHALI
5.NATAKA KULEWA BY MANECK
6.MOYO WANGU BY LAMAR
7.NTAREJEA,KAMWAMBIE,BINADAMU,LALA SALAMA BY BOB JUNIOR

MWISHO:HAO JUU NDO MAPRODUCER WAZURI WALIOMNG'ARISHA KWA BEATS NZURI HUYO LAIZER BADO SANA
UMENENA MKUU
 
uzoefu unaonyesha kuwa kazi ya u-producer wa mziki na u-director wa video ni field inayo trend kwa wakati flani na kufifia.siyo ya kudumu kwa mda mrefu.

kwa sasa hivi kibongo bongo,laizer,t touch na nahreel ndio ma-producer ambao wapo kwenye peak.

hawawezi kufifia tu kirahisi kwa kuwa kuna mtu hawapendi.huu ni wakati wao.

na itakapo fika mda wa wao kutoweka ktk game,watatoweka tu maana hakutakuwa na namna
ya kuzuia hali hiyo.

ni sawa na walivyotoweka akina p funk,lamar fish crab,adam juma,john kalaghe na wengineo.entertainment industry ipo hivo.

mleta mada huna haja ya kutoa povu kuhusu huyo laizer.ukifika wakati wa yeye kutoweka ktk game,atatoweka tu.ila kwa sasa ni wakati wake.
 
UMEL0GWA ET LIZER yuko kwenye peak!!
 
1.NANA PRODUCED BY NAHREEL
2.NUMBER ONE,NTAMPATA WAPI PRODUCED BY SHED CLEVER
3.MDOGO MDOGO PRODUCED BY TUDD THOMAS
4.KESHO NKUPELEKE NYUMBANI BY MARKO CHALI
5.NATAKA KULEWA BY MANECK
6.MOYO WANGU BY LAMAR
7.NTAREJEA,KAMWAMBIE,BINADAMU,LALA SALAMA BY BOB JUNIOR

MWISHO:HAO JUU NDO MAPRODUCER WAZURI WALIOMNG'ARISHA KWA BEATS NZURI HUYO LAIZER BADO SANA
ni kweli Bob juniour alitisha Sana, pamoja name sheddy clever na tudd
mabeat ya Bob junior hayachuji
 
Watanzania watu wa ajabu sana.Wanatoa maelekezo huku hana uwezo hata wa kumlipa mfagiaji wa ofisi pale wcb.
 
We kweli unatokea kanda maalumu yani kigoma alipotoka Laizer, sasa mwambie laizer aende shule ya uproducer
Laiza ni down to earth tunafahamiana sana maana nae ni mteja wa "wajasiriamali" ambiance
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
kama kungekuwa na uwezo wa kufuta nyuzi, basi huu uzi wako ungeufutilia mbali.. maana si kwa hits songs za lizer kwa kweli..[emoji854][emoji854]
 
Kigoma Music University (KMU) coming soon....
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
lizer kilaza kwel na beat zak kam za msibaaa yan kiukwel ladha ile ile tu uwezo hana
 
Back
Top Bottom