Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
team domo at work..
 
Labda tumetofatiana masikio au namna ya kusikia pia. Ninachopinga mimi ni hicho cha kusema beat zinajirudia. Kama unaamini hizo beat hazina utofauti jaribu kuimba vesi au chorus ya 'Inde' kwenye 'Watora mali' and prove if it works. Melody ikishabadilishwa hata kidogo tayari unapata beat nyingine. Producer anaweza akachukua let's say main melody ya 'Inde' halafu akaigeuza ipige mbele nyuma au juu chini na wewe msikilizaji usigundue. Tatizo lililopo kwa Laizer ni kurudia 'samples' karibia kila beat. Ila ukiniambia hizo beat tajwa hapo juu zinafanana nitachukulia kuwa umeamua kubishana tu na sio vinginevyo.
Unajibu kama mtu wa muziki na hasa jikoni ila bahati mbaya unamjibu mtu wa music ila upande wa jukwaani kwa washabiki na nje ya jukwaa kwa wasikiliza radio. HAMTOKAA MUELEWANE.

KIUFUPI NI KUWA WCB WANATENGENEZA MUSIC WAO NA NADHANI WANATAKA UWE NA IDENTITY YAO.....NA LAIZER NDIO MBUNIFU WA HIYO IDENTITY SO HE KNOWS THE RECIPES FOR WCB FLAVOURS....

SIO JUKUMU LA LAIZER KUBADILI LADHA YA WASAFI BALI NI JUKUMU LA MSAFI ALIYECHOKA LADHA YA WCB AENDE AKAINGIZE LADHA MBADALA YA MA PRODUCERS WENGINE....

GO AHEAD LAIZER STICK TO YOUR BASICS AND LET NO HATERS DISTRUCT YOUR VISION TOWARDS WCB. ...YOU SET IT UP YOU KNOW WHERE YOU ARE HEADING.
 
Hapo umemaliza mkuu. Kuna mtu anaitwa Dj mustard huyu utambulisho wake ni zile Percs. Pia kuna hawa

Lex luger - Hard brasses
Avicii - Piano

ila mtanzania mwenzetu kaamua kukomaa na trumpet imekua nongwa. Angekuwa Mmarekani si ajabu angesifiwa.
 
Maproducer wa kibongo hawana lolote.....Bongo hakuna producer wa kweli. Majani si akili yake imeingua na bangi, atatengeneza nini yule?
Da!Bro unafuatilia mziki wa Bongo kweli?Majan ni LEGEND kwa maproducer wa Bongo tena Producer aliyeenda shule.Si vizuri namna unavyomdis kana kwamba hajafanyalolote lile kwenye muziki wetu.
 
Mbona biti ya kokoro kama iko tofauti?
Ipo tofauti kwa sababu ina mkono wa producer mwingine wa kuitwa Abydad.

Abydad ndio kafanya Chekecha ya Ali Kiba na Nagharamia ya Bela na Ali
 
Hamumtaki WCB, Wewe na nani labda?

Kwanza unacheo gani pale WCB?
 
uzoefu unaonyesha kuwa kazi ya u-producer wa mziki na u-director wa video ni field inayo trend kwa wakati flani na kufifia.siyo ya kudumu kwa mda mrefu.

kwa sasa hivi kibongo bongo,laizer,t touch na nahreel ndio ma-producer ambao wapo kwenye peak.

hawawezi kufifia tu kirahisi kwa kuwa kuna mtu hawapendi.huu ni wakati wao.

na itakapo fika mda wa wao kutoweka ktk game,watatoweka tu maana hakutakuwa na namna
ya kuzuia hali hiyo.

ni sawa na walivyotoweka akina p funk,lamar fish crab,adam juma,john kalaghe na wengineo.entertainment industry ipo hivo.

mleta mada huna haja ya kutoa povu kuhusu huyo laizer.ukifika wakati wa yeye kutoweka ktk game,atatoweka tu.ila kwa sasa ni wakati wake.
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
hata wewe usipoangalia humu JF tutakupangia kazi nyingine
 
[emoji445] ...Eyoo Laizaaa.....[emoji444] [emoji444] [emoji444]
 
Unajibu kama mtu wa muziki na hasa jikoni ila bahati mbaya unamjibu mtu wa music ila upande wa jukwaani kwa washabiki na nje ya jukwaa kwa wasikiliza radio. HAMTOKAA MUELEWANE.

KIUFUPI NI KUWA WCB WANATENGENEZA MUSIC WAO NA NADHANI WANATAKA UWE NA IDENTITY YAO.....NA LAIZER NDIO MBUNIFU WA HIYO IDENTITY SO HE KNOWS THE RECIPES FOR WCB FLAVOURS....

SIO JUKUMU LA LAIZER KUBADILI LADHA YA WASAFI BALI NI JUKUMU LA MSAFI ALIYECHOKA LADHA YA WCB AENDE AKAINGIZE LADHA MBADALA YA MA PRODUCERS WENGINE....

GO AHEAD LAIZER STICK TO YOUR BASICS AND LET NO HATERS DISTRUCT YOUR VISION TOWARDS WCB. ...YOU SET IT UP YOU KNOW WHERE YOU ARE HEADING.
UKWELI MTUPU
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
Tumekuelewa Zari mshauri basi mumeo mondi
 
Laizer kama hakukulipa huko mlikopeana huduma basi usimchafue mtandaoni kwa kumfukuzisha kazi kwa wasafi...nenda kampe tena huduma vizuri labda atakulipa na malimbikizo
 
Hili ni la Muda Mrefu sana,
Me nilishamshauri Diamond na WCB wajaribu kubadili Maproducer ili waweze kupata ladha mpya ya Mziki!
Siyo Lazima Nyimbo zote zifanyike wasafi
 
Back
Top Bottom