Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Hili ni la Muda Mrefu sana,
Me nilishamshauri Diamond na WCB wajaribu kubadili Maproducer ili waweze kupata ladha mpya ya Mziki!
Siyo Lazima Nyimbo zote zifanyike wasafi
Mbona utofauti upo mkuu me nafikiri wasanii.wenyew hawabadiliki uimbaji.wao mbona bit ya harmonize matatizo ipo tofaut
 
Diamond - Kidogo
Mzimbabwe - watora mari
Rayvanny - Kwetu
Harmonize - Bado
Rayvanny - Natafuta kiki
Dully Sykes - Inde
Rich Mavocal - Kokoro

Hapo ukisema kuna mfanano wa beat ni uongo uliopitiliza... Cha kumshauri hapo apunguze kurudia sampo kwenye beat zake(watu wa mziki mtanielewa). Otherwise he's doing a great job.
Watora Mari hiyo ni shida kama kafanya yeye nampa heko, kwa upande wangu mimi dogo ni producer mzuri sema watu wanategemea WCB kwavile iko juu basi wawe na the best producer in this industry, pia mimi nna mentality hiyo, nilitegemea main producer awe mtu kama Nahreel, T-Touch, Man Walter, Marco Chali, na producers wengine wa hadhi hiyo
 
Ni kweli kabisa. Laizer anahitaji kufanya kazi na wasanii wa nje ya lebo ya Wasafi pia. Vinginevyo tusitegemee mabadiliko kutoka kwake. Vile vile kama uliposema hapo juu Wasafi walihitaji producer mkubwa kutokana na walipofika wakati huo Laizer anaendelea kunolewa zaidi.
 
Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
Kwani ukisikia neno producer wewe unaelewa nini ndugu, unaweza ukawa unabisha kitu usichokijua!
 
ni kweli laizer hana uwezo wa kuiendesha wcB Kama main producer!
bora hata Tudd
beat zake zote zinafanana...

kijuso ni wimbo mzuri Sana... lakini Rayvanny habadiliki .....kila siku anaimbia sauti moja!

Mimi shabiki wa WcB lakini hayo mapungufu nayaona....
laizer Hana beat mpya!!!!

inatakiwa beat za dance ziwe Kama ile diamond alimshirikisha iyanya... beat Ina ubunifu Fulani mfano; my number one,Nana
sio beat inakuja kabla hujataja wasafi ,imeshajulikana wasafi hio.
..
laizer sio mbunifu , bora hata Tudd Thomas!
au diamond afanye muziki popote anapohisi producer anafaa.
1.NANA PRODUCED BY NAHREEL
2.NUMBER ONE,NTAMPATA WAPI PRODUCED BY SHED CLEVER
3.MDOGO MDOGO PRODUCED BY TUDD THOMAS
4.KESHO NKUPELEKE NYUMBANI BY MARKO CHALI
5.NATAKA KULEWA BY MANECK
6.MOYO WANGU BY LAMAR
7.NTAREJEA,KAMWAMBIE,BINADAMU,LALA SALAMA BY BOB JUNIOR

MWISHO:HAO JUU NDO MAPRODUCER WAZURI WALIOMNG'ARISHA KWA BEATS NZURI HUYO LAIZER BADO SANA
 
Wewe inaonekana una hasira binafsii...maana hata ushauri huwa hautolewii hivoo
 
Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta

"bado" katengeneza prod fraga mastering akairudia laizer na kokoro kafanya lizer kila kitu
 
Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
Dog mkuu ????? Umenikumbusha mbali kuna jamaa alikuwa anajiita chaa dog
 
"bado" katengeneza prod fraga mastering akairudia laizer na kokoro kafanya lizer kila kitu
Kokoro kafanya Lazier kila kitu!?

Upo mkoa gani?!hukuwahi kumsikia Mavoko akisema kuwa ile ngoma ilifanywa kwa Abydad tena kabla yeye ajaenda WCB?!

Lazier aliongeza vitu vichache tu ila sehemu kubwa ilikuwa kazi ya Abydad na hata mwisho wa ule Wimbo linasikika jina la Abydad.
 
mugachelele na kijuso kuna vionjo vinafanana...

bado na hello kuna vionjo vinafanana
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.

Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,

mchawi
 
povuuuu
 
Da!Bro unafuatilia mziki wa Bongo kweli?Majan ni LEGEND kwa maproducer wa Bongo tena Producer aliyeenda shule.Si vizuri namna unavyomdis kana kwamba hajafanyalolote lile kwenye muziki wetu.

Majani si producer wala nini, ni jina tu kama vile kumsifia Ngassa wakati si mchezaji kweli. Beats zake zote zinafanana, sema tu yeye ndiye alikuwa producer uchwara wa kwanza hapa nchini.
 
Bongo Producers wapo tena wakali tu.

Mr.T Touch,Nahreal,Man Water,Tudy Thomas wanafanya beat nzuri mno...Sidhani kama Bongo Flava ina tatizo la audio production.

Hao wote ni maproducer uchwara na ndiyo maana beats zao hazitofautiani, Bongo hakuna producers wa kweli, narudia tena hakuna. Ndiyo maana bongo fleva haina mvuto.
 
Hao wote ni maproducer uchwara na ndiyo maana beats zao hazitofautiani, Bongo hakuna producers wa kweli, narudia tena hakuna. Ndiyo maana bongo fleva haina mvuto.
Bongo flava haina mvuto!!!?

Oke ni mawazo yako inatupasa tuyaheshimu pia.

Asante.
 
Apangiwe kazi ingine tu hsmna namna... Huyu jamaa biti zake zinagonga kama anapiga malimba.. Biti zinaiogopa spika... Yaani ukisikiliza mziki utafikiri unasikiliza nyimbo mpya ya snura
 
Back
Top Bottom