Tetesi: Lake Nyasa Saga: Malawi waits response from Tanzania

Tetesi: Lake Nyasa Saga: Malawi waits response from Tanzania

mbona nyinyi ni washali sana?!
Kama Malawi wanadai Lake Nyasa lote ni la kwao,mbona hawajaenda Msumbiji kuwazuia wasitumie maji ya ziwa hilo maama Kipande kikubwa pia kimeingia hadi msumbiji iweje wanadai kwa Tanzania tu huko msumbiji wanaogopa nini kwenda kudai? au wanatuona wanyonge!
 
Hapana ziwa linamilikiwa na nchi tatu Malawi,Tanzania & Msumbiji.

Kama ndio hivyo sheria lazima ziheshimiwe. Malawi hawawezi kufua dafu kwa Tanzania. Tatizo limalizwe kwa busara sio makeke mengi yasiyo na faida.
 
This is one of the problem which was left behind by colonialist in Africa we better settle it peacefull.

Duc in Altum
Tusiwasingizie wakoloni. Ni akili fupi tu za vongozi wa Afrika.
Hilo ziwa Nyasa ni sehemu ya Tanzania, hakuna cha ku negotiate hapo.
Kama wanataka lote basi walichukue kwa nguvu.

Kama sehemu ya Malawi haiwatoshi waingize vifaru vyao basi wazuie waTanzania wasitumie.
Na kama issue ni mikatabam turudi katika kipindi cha kabla ya akina Mangungo tujue lilikuwa ziwa la nani.
 
... Watanzania eneo kubwa sana, halafu akafuatia na Waganda, hatimaye sisi Wakenya akatupea kaeneo kadogo...
Mzungu bhana! Hivi sakata la kisiwa cha Migingo limeishia vipi?
 
Acha akili za bangi, utawezaje kugawa sehemu ya nchi yako eti kwa kuwa ni kubwa? Malawi ya kupigwa tu hakuna namna kwanza sioni Sababu yoyote ya mazungumzo nina hasira sana na Malawi.
Tangulia mstari wa mbele uwe chambo
 
Mzungu bhana! Hivi sakata la kisiwa cha Migingo limeishia vipi?

Hilo ya Migingo huwa inabidi tujibizane kwa maneno na kujaribu mbinu za kidiplomasia maana vinginevyo itatulazimu kurushiana mizinga, jambo ambalo lazima tulizuie kwa mbinu zote. Japo Museveni hutunisha misuli sana na kuonyesha alivyo tayari kuingia vitani.
 
Hehehe!! ndio haya aliotuachia mkoloni. Alichora chora mipaka na kujiendea zake. Ziwa Victoria akawapa Watanzania eneo kubwa sana, halafu akafuatia na Waganda, hatimaye sisi Wakenya akatupea kaeneo kadogo, wakati maji ni yale yale, samaki ni wale wale na wanakatiza wakiogelea kote kote bila kujua hiyo mipaka.

Sasa huyo huyo mzungu kule ziwa Malawi akachora mpaka pasu kati ya Msumbiji na Malawi halafu hayo hayo maji akaweka mpaka kwenye fukwe upande wa Tanzania. Sasa imekua mwendo wa kutunisha misuli na kutoleana mikwara....duh! mzungu aje tena na kuichukua Afrika yake maana imetushinda.
ndug katika kugawa mipaka ya mito au maziwa (vitu amabavyo havijaumbwa na binadam) huwa wanaangalia idadi ya watu wanao tumia maliasili hiyo wanapewa kwa ratio yao. Mfano ziwa Victoria Tanzania ina mikoa minee inyotumi ziwa hilo (Mwanza, Mara, Kagera, na Simiu) kadhalika Uganda kwa ratio hiyo hivyo hivyo Kenya.
 
ndug katika kugawa mipaka ya mito au maziwa (vitu amabavyo havijaumbwa na binadam) huwa wanaangalia idadi ya watu wanao tumia maliasili hiyo wanapewa kwa ratio yao. Mfano ziwa Victoria Tanzania ina mikoa minee inyotumi ziwa hilo (Mwanza, Mara, Kagera, na Simiu) kadhalika Uganda kwa ratio hiyo hivyo hivyo Kenya.

Asante nimekuelewa maana kwa kweli sisi tuna mkoa mmoja tu ambao umepakana na ziwa Victoria.
 
Kwa dunia hii ya sasa .pale unaposema bonde ndio panaibuka visima vya mafuta .
Na watu hawaelewei mafuta si baraka ila inakuwa kama curse. Lazima vita inakuwepo.
Tz haita wachia kamba
 
haki tena Malawians kuna kitu mnakitafuta kwetu Watanzania; sio bure! na nahisi mmeshikiwa akili ama kuna kuwadi anawatuma mcreate instability ili yeye ajinyongee tuu mali zetu; sasa ni hivi ...........msije mkadanganganyika ......huku Tanzania tunao usemi mmoja maarufu tangu utotoni .............kama hamjui nini kilimnyoa Kanga (ndege) manyoya ya kichwani ....basi na mjairibu kuleta chokochoko hata hilo anga mnaltumia tulifunga ikibidi.............pamb.af senyu (in my grandpa's voice)!!!
 
Hilo ya Migingo huwa inabidi tujibizane kwa maneno na kujaribu mbinu za kidiplomasia maana vinginevyo itatulazimu kurushiana mizinga, jambo ambalo lazima tulizuie kwa mbinu zote. Japo Museveni hutunisha misuli sana na kuonyesha alivyo tayari kuingia vitani.
Mseveni hawezi kusimama kijeshi mbele ya kenya.
 
Tuombe tu swala hilo liishe kwa kufuata proper diplomatic chanels ,vinginevyo wakiletea ubabe sijui kama Magufuli anaweza kuvumilia
Achelewi kukuambia hilo ni jipu

wamalawi wakiendelea kubisha watatumbuliwa, kanchi kenyewe kadogo tu, tukiamua tunachukua na malawi yote iwe upande wa tanzania. mwaka jana wamepeta mafuriko tumeenda kuwasaidia leo wanaongea ujinga. au uchaguz kwao umekarbia maana huwa wanatumia sera ya kuchukua ziwa nyasa ili wapate kura. lakini wao wenywewe wanajua ukweli kuwa tz tukoje tukichukia.
 
Ramani ni mkataba waliasaini waingereza na wajerumani kuweka mpaka
 
Back
Top Bottom