Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
angalia hiyo ramani then compare na jibu lako
Ramani si issue hata wewe unaweza kuchora ziwa linamilikiwa na nchi tatu full stop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia hiyo ramani then compare na jibu lako
Kama Malawi wanadai Lake Nyasa lote ni la kwao,mbona hawajaenda Msumbiji kuwazuia wasitumie maji ya ziwa hilo maama Kipande kikubwa pia kimeingia hadi msumbiji iweje wanadai kwa Tanzania tu huko msumbiji wanaogopa nini kwenda kudai? au wanatuona wanyonge!mbona nyinyi ni washali sana?!
Dunia ingekua hivyo ingekua paradiso ,kwa hiyo wewe mtu anataka kuchukua nyumba yako kwa sababu tu unazo mbili unamwachia ???a wise decision ni kuwaachia kama tz we have oceans, lakes and other river why fight over just one lake????
Acha akili za bangi, utawezaje kugawa sehemu ya nchi yako eti kwa kuwa ni kubwa? Malawi ya kupigwa tu hakuna namna kwanza sioni Sababu yoyote ya mazungumzo nina hasira sana na Malawi.a wise decision ni kuwaachia kama tz we have oceans, lakes and other river why fight over just one lake????
Hapana ziwa linamilikiwa na nchi tatu Malawi,Tanzania & Msumbiji.
Tusiwasingizie wakoloni. Ni akili fupi tu za vongozi wa Afrika.This is one of the problem which was left behind by colonialist in Africa we better settle it peacefull.
Duc in Altum
Mzungu bhana! Hivi sakata la kisiwa cha Migingo limeishia vipi?... Watanzania eneo kubwa sana, halafu akafuatia na Waganda, hatimaye sisi Wakenya akatupea kaeneo kadogo...
Tangulia mstari wa mbele uwe chamboAcha akili za bangi, utawezaje kugawa sehemu ya nchi yako eti kwa kuwa ni kubwa? Malawi ya kupigwa tu hakuna namna kwanza sioni Sababu yoyote ya mazungumzo nina hasira sana na Malawi.
Mzungu bhana! Hivi sakata la kisiwa cha Migingo limeishia vipi?
ndug katika kugawa mipaka ya mito au maziwa (vitu amabavyo havijaumbwa na binadam) huwa wanaangalia idadi ya watu wanao tumia maliasili hiyo wanapewa kwa ratio yao. Mfano ziwa Victoria Tanzania ina mikoa minee inyotumi ziwa hilo (Mwanza, Mara, Kagera, na Simiu) kadhalika Uganda kwa ratio hiyo hivyo hivyo Kenya.Hehehe!! ndio haya aliotuachia mkoloni. Alichora chora mipaka na kujiendea zake. Ziwa Victoria akawapa Watanzania eneo kubwa sana, halafu akafuatia na Waganda, hatimaye sisi Wakenya akatupea kaeneo kadogo, wakati maji ni yale yale, samaki ni wale wale na wanakatiza wakiogelea kote kote bila kujua hiyo mipaka.
Sasa huyo huyo mzungu kule ziwa Malawi akachora mpaka pasu kati ya Msumbiji na Malawi halafu hayo hayo maji akaweka mpaka kwenye fukwe upande wa Tanzania. Sasa imekua mwendo wa kutunisha misuli na kutoleana mikwara....duh! mzungu aje tena na kuichukua Afrika yake maana imetushinda.
ndug katika kugawa mipaka ya mito au maziwa (vitu amabavyo havijaumbwa na binadam) huwa wanaangalia idadi ya watu wanao tumia maliasili hiyo wanapewa kwa ratio yao. Mfano ziwa Victoria Tanzania ina mikoa minee inyotumi ziwa hilo (Mwanza, Mara, Kagera, na Simiu) kadhalika Uganda kwa ratio hiyo hivyo hivyo Kenya.
You do not know what you are saying.a wise decision ni kuwaachia kama tz we have oceans, lakes and other river why fight over just one lake????
Hakuna namna hapo ikiwa wataamua kushindana na kiranja mkuu(Tanzania).mbona nyinyi ni washali sana?!
Mseveni hawezi kusimama kijeshi mbele ya kenya.Hilo ya Migingo huwa inabidi tujibizane kwa maneno na kujaribu mbinu za kidiplomasia maana vinginevyo itatulazimu kurushiana mizinga, jambo ambalo lazima tulizuie kwa mbinu zote. Japo Museveni hutunisha misuli sana na kuonyesha alivyo tayari kuingia vitani.
Tuombe tu swala hilo liishe kwa kufuata proper diplomatic chanels ,vinginevyo wakiletea ubabe sijui kama Magufuli anaweza kuvumilia
Achelewi kukuambia hilo ni jipu