Tetesi: Lake Nyasa Saga: Malawi waits response from Tanzania

Ujue wewe jamaa unanichekesha sana, hivi huyo Kagame anakupa nini.?? Kwenye inshu ya Tanzania na Malawi, mnyarwanda anahusika vipi.??
hapana! ninachosema, inanikumbusha jinsi Mobutu na Kabila mzee walivyotaka kuwafukuza wanyamulenge bila aldhi na mali zao
 
wee kichaa usinikumbushe zile story zako za kizushi! unataka kujifanya hatukujuwi eti, kwa taarifa yako Tanzanian community ambayo iko hapa tokea Rwanda ikombolewe naijuwa yote, acha midhaa wewe!

Haaahaaa,
Hapa naona unahisi kweliiiii,
Mchambawima naona unataka niseme mimi ni nani ili unijue exactly mimi nani, Hakunaaaa hiyo.
Ila mzaha tuache Bwana Kagame kafanya vizuri sana na Kigali its a better place than it used to be,
Kuna yule jamaa Judge raisi wa EAC court alimfundisha kaka yangu pale University of Rwanda majuzi tu tulikuwa naye pale Arusha ananikumbuka vizuri na nikapanda hadi libenzi lake teh!!!Teh!!Teh!!!

BADO TU HUJANIJUA?????
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉

Ila Ange ni Mzuri sana sema kanipita tu Urefu daaah,
Na siku hizi anaringa baby yule.
 
sina haja ya kukujuwa wala nini! kwanza huwa unatabia ya kujichanganya sana wewe... mara oh Kagame muuwaji hapo hapo tena oh ni best friend wa baba yangu... I tell you what, wazungu wanasema eti show me your friend and I will tell you... kwa hiyo baba yako ni muuwaji mwenzake? wewe hizo story unazotowa kwa wazazi wako zitakupagawisha wewe
 
Mnyonge mnyongeni Haki yake Mpeni,
Tanzania sisi ni wakweli wala hatuna Wivu na mtu,
Panapo stahiki tunasema ukweli.

Halafu utaniulizaje swali kama hilo wakati unadai Watanzania wote waliokaa Rwanda unawajua???
You tell me Is my daddy A Serial Killer and Blood Thirst???
First degree Naivety and Lack of coherence as usual.

But all in all in Ange Kagame is So HOOOOOT.
And she will be married by a man from Tanzania (HOME OF THE BRAVE).
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
ndio! kwani hayo ndio maneno unayosema kila siku kuhusu Raisi wetu lakini kutokana na pombe zilivyo kujaa kichwani, unageuka na kusema ni best friend wa baba yako! sasa unataka nisemeje? kama ni marafiki basi wote ni sawa au vipi? tena punguza tabia ya kukulupuka, juzi mzee ""mnyakyusa" nimemuifadhi jina ukajifanya unajuwa sana, mwishowe ukaleta jina lake hapa pasipo umuhimu na kuanza kunishutumu eti nimemtukana! kwa taarifa yako kupenda wa mistress au ulevi kwa wengine ni HOBBY na sio matusi kama unavyofikiri wewe... we kiboko naona umelithi kila kitu...
 
Hivi taratibu za kuanzisha vita zikoje? Mie naona hawa tungewatandika tu kisha tuchore ramani huku wanafuta machozi after all imekuwa kitambo sana tangu tumdungue nduli na tuna madege kibao kutoka kwa kina hu jin tao hayajafanyakazi yake bora tukawatandike nayo ili tukaona na ufanisi wake
 
Cha kushangaza Ziwa hilo limegawanywa katikati nusu ikiwa upande wa Msumbiji na nusu upande wa Malawi, ukija upande wa Tanzania wamalawi wanadia Ziwa lote nilao!! Kuna mantiki gani ya kuwa na double standard?
tujiulize kwanza nchi yetu imezungukwa na maziwa mangapi ukichanganya na bahari ya hindi je tunanufaika nayo? kwanini tuumize vichwa kwa kipande cha maji machache wakati yuna bahari na maziwa kibawo....
 
Kwahiyo wewe unataka Tanzania ifanye nini?
 
Kwahio sisi sio Watanzania!!?
Umeshasema Watanzania wote
Kwanini umetubagua

Humjui Mchambawima1 ameathiriwa na dhambi ya kurithi ya kibaguzi inayowatafuna kule kwao Unyarwanda, kuna sehemu nimejibizana sentensi chache tuuu tayari akakimbilia kwenye ukabila ........we mpuuze tu
 
tujiulize kwanza nchi yetu imezungukwa na maziwa mangapi ukichanganya na bahari ya hindi je tunanufaika nayo? kwanini tuumize vichwa kwa kipande cha maji machache wakati yuna bahari na maziwa kibawo....

unatoka nchi gani .......kama ni Mtanzania karudie kulisoma upya somo la URAIA .........
 
ikae kama ilivyo zoea... isipende mtelemko

kwa ghadhabu niliyokuwa nayo sikusoma hata avatar yako ................nisamehe bure MWAlla .....hiyo suggestion ipuuze tu maana wewe neno Uzalendo kwako ni msamiati ....huko kwenu kuna milki za mataifa mbali mbali ndani ya nchi yenu ndio maana unaona ni jambo rahisi tu kuachia kama unavyofikiria
 
unaona? umetoka kubomoa upande wa pili halafu ukakimbilia huku, umeamuwa undumilakuwili wako uhamishie huku? we mjinga unayoyaombea Tanzania na sisi ni hivyohivyo, siyo kuja kujifanya unatujuwa kwa saaaaaaaana wakati mna mambo kibao yamewashinda...
 
Back
Top Bottom