Cenilah laprincesser
Member
- Jan 25, 2021
- 58
- 51
Mpe locationKama hela ya pango na TRA tayari,hyo inatosha
Location ya?Mpe location
Itatosha kwa kuanzia kamaMsaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........?
Nipo Mwanza
Apo ni Sina Kila kituuItatosha kwa kuanzia kama
Tayari una fremu na umeshalipia kodi walau miezi mitatu
Tayari una vibali
Tayari fremu ina makabati na miundombinu mingine imayoendana na hiyo biashara
Matumizi binafsi hayatatoka hapo
Mzigo wa kuanzia haupo mbali
Uwiii.....msaaada wa biashara ganii inatosha Ii pesaItatosha kwa kuanzia kama
Tayari una fremu na umeshalipia kodi walau miezi mitatu
Tayari una vibali
Tayari fremu ina makabati na miundombinu mingine imayoendana na hiyo biashara
Matumizi binafsi hayatatoka hapo
Mzigo wa kuanzia haupo mbali
Banda la nnMhhhh mkuu czadhi labda utengeneze Banda
IgomaLocation ya?
Sehemu ya kufungua goli?
Sehemu ya kuchukua mzigo?
Ofisi za TRA? au...
yeye kasema yupo mwanza!!! mwanza kubwa mkuu,aseme current location yake ilitujue
Labda nguo kwenye minadaUwiii.....msaaada wa biashara ganii inatosha Ii pesa
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Kama hela ya pango na TRA tayari,hyo inatosha
Kam chingaaLabda nguo kwenye minada
Iahirishe hiyo biashara
Aisee.....Msaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........?
Nipo Mwanza
Ipii inarndana na soko na pesa nlonayoIahirishe hiyo biashara
Nyie[emoji2772]Aisee.....
Hujalipia pango, etc....
Okay tuseme umelipia pango ukaanza, utafunga hio biashara ndani ya miezi minne au sita sababu faida ya vipodozi huwa ndgndg sana haitotosha wewe kuendelea kulipa hizo kodi.
Kabeti kwa 20,000 mara 20 unaweza bahatisha mkeka mmoja wa 5M.
Au kanywe pombe hio hela na ufanyie starehe ili baadae ujichukie na upate hasira ya kutafuta zaidi itakayotosha kwa mtaji
Kuuza nguo kwenye minada ndio biashara rahisi ya kuanza nayo kwa mtaji huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Mkuu ukweli ni kwamba labda utengeneze mkorogo hiyo inatosha kabisa
Lakini vipodozi hivi hivi ambavyo Kibox kidogo tu unakuta kimebeba Vitu Vya million
Mmh sidhani