MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,140
- 2,141
All the best mkuu!Wife anapenda sana masuala ya urembo na anajua sana majina mpaka nashangaaa!
Nina andaaa 5m
2.5m pango na ukarabati wa ofisi
Laki tano Vibali TRA nk gharama za ubebaji
2m mzigo wa biashara
Kwa miezi sita faida itakuwa kukuza mtaji..
Return ya capital baada ya miezi sita.
Ikipatikana 2m
Itanunua machine ya juice atakaa kijana.
2m ikirudi 2m
Inaenda kulima hekali tatu za mpunga huko tabora!
2m ikirudi baada ya kuuza mazao
Itatumika kununua mazao kwa ajili ya kuhifadhi na kuuza wakati wa masika.
Baada ya hapo faida za biashara zote
Ndio namfungulia duka kubwa mtaji usiopungua 50m
Hapa yeye ndio atakuwa agent kuuza kwa bei ya jumla.
Kosoeni