cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haiwezekanii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekanii,
Unahitaji million 10 au zaidiMsaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........?
Nipo Mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Kukopeshaa ni risk,Kama huna kila kitu, hiyo haitoshi.. labda uanze biashara ya kukopesha kama (kama una roho ngumu) watangazie mabest wako kuwa unafanya biashara ya kukopesha, wanakupa listi ya vitu wanavyohitaji unaemda kuwanunulia kisha unakuja kukopesha kwa muda fulani.
Ama agiza nguo za mtumba, uuze mtaani na mtandaoni.
Agizq gunia kadhaa za mkaa uuze, kama una sehemu ya kuhifadhia.(kakibanda.)
Ndo maana ake afanye mkorogo, hapo anatusua.Unaona hiyo Box kwa profile
Imelaza 650,000 hiyo ni product moja
Ila akikubaliana na ushauri wa mkorogo anatoboa,
Uwezi Hela ndogo iyo bajeti ndogo uwe na million 5Nkiwa na lakii nne naeza fungua duka la cosmet ...nipo mwanza
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Yani namaanisha banda la mbao alafu unapanga vifaaa kuepuka kodi ya fremu
Shukuran mkuuKwa kiasi hicho ni vigumu kufanikiwa kuifanya hiyo biashara.
Kumbuka biashara ya Cosmetics inahitaji Vibali, Leseni, pamoja na kodi anzia ya TRA. Sambamba na hilo utahitaji frame ya kufanyia hiyo biashara ambapo utahitajika kulipia pango n.k
Kwa mtazamo wangu ni vyema ukanza na kununua soksi, kalamu, singlet (Singelendi), Chupi za kike, Boksa, Kalamu, na USB flush then uwe unapita hapo Chuoni SAUT uwatembezee WanaChuo.
Nahisi kwa kiasi hicho unaweza kuanza na hiyo biashara huku ukipata uzoefu/Connection na mambo ya biashara pamoja na kukuza mtaji.
Mungu akutangulie na tukutane Kileleni [emoji1635][emoji1666][emoji123]
All the best 👍
Laki nne ni ndogo sana, ila kwavile unapenda kufanya biashara ya vipodozi, nakushauri stick nayo, usishift biashara.
DuhMsaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........?
Nipo Mwanza
Ila waha wanatoboa unapitia bukubukuKukopeshaa ni risk,
Nakumbukaa nikiwa 1st yr nilikua nakopeshaa tshet, sendols khaaah mbna nilikua hasaraa,
Nkaahirisha, nkaingia kukopesha vitenge, na madila ila home woiiio kila siku ni story tyuuh.
Kukopeshaa ni hasaraa.
[emoji120][emoji120]Laki nne ni ndogo sana, ila kwavile unapenda kufanya biashara ya vipodozi, nakushauri stick nayo, usishift biashara.
Siku hizi kuna unafuu kidogo sababu ya uwepo wa social medias. Ili biashara ya vipodozi uifanye vizuri, inabidi uwe unavijua vizuri hivyo vipodozi vyenyewe, alafu kingine ambacho ni muhimu sana, wewe kama muuzaji unatakiwa ngozi yako iwe na muonekano mzuri ili uweze kuwa convince wateja wako.
Sasa turudi kwenye mtaji. Achana issue za tra, Kodi ya pango au frame, nenda Insta kwenye pages za wauza vipodozi, wa follow then join whatsp group zao. Dhumuni la kufanya hivi, ni ili uweze kupata darasa na ufahamu kuhusu vipodozi tofauti tofauti, lakini pia ni kuweza kupata access ya picha za hivyo vipodozi.
Baada ya hapo, tembelea maduka ya vipodozi yaliyopo hapo Mwanza. Make sure unayatembelea mengi kwa kadiri unavyoweza. Lengo ikiwa ni kuyajua hayo maduka, pia Bei zao. Maana yapo yatakayokuwa yanauza ghari, na yapo yatakayokuwa yanauza nafuu. Ukishajua ni wapi pa kuzipata hizo products,
Anza utaratibu wa kuwa unapost status ya baadhi ya vipodozi, toa maelezo na faida zake kwa mtumiaji, maana wengine huwa wananunua baada ya kuwa convinced, pia wapo wanaotamana kubadili vipodozi wanavyotumia sasa, ila bahati mbaya hawajui wanunue vipodozi Vipi kama mbadala.
Anayehitaji atakuwa anakuchek inbox, wape ushauri kwa kadiri watakavyokuwa wanauliza. Na wakihitaji kununua, mkielewana Bei, nenda kanunue kwa hela yako. Utakapofanya delivery, watakurefund.
Kwa mtindo huu, laki nne ni nyingi sana kwa kuanzia. Sijajua kwa huko Mwanza, ila vipodozi ni Bei rahisi sana kkoo, japo vikifika madukani mitaani wanauza ghari. Kuna sabuni za kusafishia uso, zinatumiwa sana na wadada, niliona insta mtu anazipromote kwa shilingi 15,000/=, wakati kkoo zinauzwa 4500, ajabu anayeuziwa nae yupo hapa hapa Dar [emoji28][emoji28][emoji28].
Anyway, kazi kwako mkuu. All the best
Sijui wake wanafanyajee, ila wanatoboaa.Ila waha wanatoboa unapitia bukubuku
Wanapitia buku buku kila sikuSijui wake wanafanyajee, ila wanatoboaa.
Sie wengine ni tabu tupu.
Hii ya mkorogo ipoje. Unapatikana wapi kwa jumla au anatengeneza mwenyewe?Unaona hiyo Box kwa profile
Imelaza 650,000 hiyo ni product moja
Ila akikubaliana na ushauri wa mkorogo anatoboa,
Hii ya mkorogo ipoje. Unapatikana wapi kwa jumla au anatengeneza mwenyewe?