Laki saba na nusu kama mtaji utafanyia biashara gani kwa Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Habar wakuu,
Nina laki saba na nusu nipo Mwanza je kwa uzoefu wenu wakuu naweza kufanya biashara gani?

Binafsi nilikuwa nawaza kuchoma kitimoto ila sijajua kama kwa mtaji huu na hata nje itatosha.

Naomben msaada wa mawazo kwa walioko Mwanza please.
 
Naomba mchanganuo mkitaja bila kuchanganua mtakuwa bado hamjanisaidia wapendwa
 
Je, Wewe Ni Mwajiriwa Au Umejiajiri ... Je, Wewe Ni Mwanaume Au Mwanamke... Je, Umeoa Au Umeolewa ... Je, Unaishi Kwenu Kwako Au Umepanga ... Je, Uko Tiyari Kufuata Fursa Vijijini ... !
 
Anza kubet tu biashara kwa mtaji huo ni kujidanganya tu
 
Habar wakuu,
Nina laki saba na nusu nipo Mwanza je kwa uzoefu wenu wakuu naweza kufanya biashara gani?

Binafsi nilikuwa nawaza kuchoma kitimoto ila sijajua kama kwa mtaji huu na hata nje itatosha.

Naomben msaada wa mawazo kwa walioko Mwanza please.
Tupe mrejesho ndugu
 
Back
Top Bottom