Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

Chenye nguvu pekee cha kumfunga Mbowe ni Kauli ya Mama alpohojiwa na BBC. Hakukuwa na haja ya kuja na hawa mashahidi wezi wa nyaraka za mahakama. Wangetumia tu hiyo kauli ya Mama kumfunga Mbowe, basi tungeelewa kuwa kafungwa kwa amri ya Mkubwa wa kaya yetu
 
Hiyo ipo kuanzia shuleni!
Kudesa tuna ita... Ina kuonyesha jinsi jamhuri wanavyo jitahidi kuleta mashahidi wa kuchonga.. Ati bado Jaji ana tetea simu isichunguzwe labda wange kuta huko na mawasiliano yake.
 
Sasa wewe mwenzetu utwambie, mlipatapataje ile nyaraka iliyohifadhiwa kwenye chumba maalum cha kutunzia nyaraka za mahakama?
 
Naona kila dalili za kuwa na marais watatu ndani ya miaka mitano
 
Hiyo ipo kuanzia shuleni!
Tukiacha huko shuleni, vipi kwa hapo mahakamani? Kwa jeshi la polisi lililojinasibu kupitia IGP Siro kwamba wana ushahidi wa kujitosheleza kuthibitisha ugaidi wa Mbowe. Huo ndiyo ushahidi hadi sasa? Ushahidi wa kuandikiwa kwenye Diary cha kusema? Hatujui kwenye simu kuna nini?

Tutajua panapovuja.
 
Hiyo sasa ni kuwajua vikojozi kwani mvua zimegoma na nyumba inavuja🤸.
 
Yani leo ndo nimechoka, ichi ni kituko Cha mwaka, mama mwenyewe yupo Misri, Bila kuambiwa na mtu yeyote angekua ametulia nakufuatilia hii case , angekua ameelewa kwamba ameingizwa chaka ,nia project ya watu wachache kupiga pesa,

Sasa nao wameshutuka ,nikumshauri kuwa na trip kibao Ili awe busy na trip, but Taifa linatia aibu ya mwaka,

Hali ni mbaya sana KWa kikundi kilichoshiriki, maana hawajui Hatma yao ,so wanapigana kufa na kupona huku wakiendelea kuvulunda KILA siku
 
Rais mwenyewe alishasema Kuna kesi nyingi za kubambika. Hi ni moja wapo, maana ushaidi ni wa kubumba bumba , ndio maana polisi walilazimisha ile caution statement isainiwe na mshtakiwa wa Kwanza. Hawana ushahidi mwingine. Ushahidi was maana ulikuwa wa Kaaya, lakini naye alijichanganya Sana.
 
Katika Mawakili vichwa Kibatala no mmojawapo. Usidharau profession ya mtu kisa uvyama. Kama Kuna daktari mzuri ila CHADEMA , tumsifie kwa ubora wake na sio chama chake.
 
Mbona was Leo kaboronga, kapokea barua ya msajili wakati ye sio mlengwa. Na ikasasabisha pingamizi la Utetezi. Jumatatu pingamizi litaendelea ndani ya kesi ndogo.
 
DPP na timu yake hawana akili ndiyo.
Hii kesi ni matokeo ya akili ndogo na kulewa madaraka kwa sabaya
Huelewi nn hapo
 
Kati ya nchi KUUMBUKA na chief Hangaya KUUMBUKA kipi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…