my friend, amini usiamini hiyo sio kweli. kwenye izo mishe, shahidi ukimfundisha lazima ataboronga tu kwenye cross examination. ambacho huwa kinafanyika kwa hao jamaa ni kumkumbusha tu yale aliyoongea polisi as per his witness statement n.k, ila ukimfundisha mambo mapya anawez akupigwa swali la ajabu akakosa nafasi ya kuja kwako kuuliza jibu kwasababu taayari yupo kizimbani, na ataharibu kesi yote, hivyo ilo jambo huwa halifanyiki, labda kama hakuan wakili wa utetezi. nimekuwepo huko kwenye prosecution zamani, kuna siku utakuja kuelewa, ila sio leo.