Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Unakosaje supporting document kwenye malipo makubwa kama hayo na wakati kuna softcopy and hardcopy?Shida ukaguzi unafanyika kiuhasibu ila report inakuwa presented kisiasa.kumbuka CAG akikukuta huna supporting document ya matumizi yoyote hata kama yamefanyika kihalali utaambiwa umekula hizo pesa.Ndo maana kuchukuliwa hatua sio rahisi.
Huyo ni PS wa UWT Kongwa achana nayeYaani nchi inapigwa hivi unadai ni siasa ?
Sasa kuna haja gani ya kufoka ?Shida ukaguzi unafanyika kiuhasibu ila report inakuwa presented kisiasa.kumbuka CAG akikukuta huna supporting document ya matumizi yoyote hata kama yamefanyika kihalali utaambiwa umekula hizo pesa.Ndo maana kuchukuliwa hatua sio rahisi.
Swali: je report iliyopita amemnyoosha nani?Mama tuna imani naye, atawanyoosha hao wakora
Akikujibu na mimi nistueSwali: je report iliyopita amemnyoosha nani?
Hili samia anahusika nalo maana alisema mchakato wa tende ukishaakamilika watu wasipate shida kukataa rufaa kwa kuwa inachelewesha mradiIlimkata mzabun wa bil600
Na kuumpa wa tillion1.1
Bila sababu za msingi..daah
Sioni tena kile kierere cha zitto cha kuchambua report ya CAG kwa mbwembweUnadhani asali anayolamba Mbowe na Zitto unatoka wapi?
Si mtulie ripoti imetoka jana tu Leo waache kuipitia watoe tamko Ili kukufurahisha wewe auSioni tena kile kierere cha zitto cha kuchambua report ya CAG kwa mbwembwe
Sjawah mm kuskia aiseeee, hio report sometime inakuwaga kama imekaa kimbea mbeaHili ni Swali ambalo Watanzania tunapaswa kujiuliza , kwamba kwa miaka mingi ofisi ya CAG imejitahidi sana kuanisha mapungufu , Wizi , upotevu na Uchafu wote unaofanywa kwenye mashirika na idara za serikali , wako walioonyeshewa vidole moja kwa moja ( Wengi wao majina yao yanafahamika )
Lakini kwa miaka yote hiyo hakuna hatua zozote za kisheria zimechukuliwa dhidi ya Watuhumiwa hao wanaofahamika ( niko tayari kusahihishwa ) .
Sisi Wananchi tumeanza kuitilia mashaka Serikali yetu kwamba ripoti ya CAG yaweza kuwa mbinu ya kizamani ya serikali ya ccm ya Kupumbaza wananchi ili waone kwamba serikali yao iko makini , CAG yuko Makini , Takukuru iko Makini , Rais anafokea wezi na mchwa wa Taifa , au Rais Kanuna nk . wakati kwenye ukweli Serikali haina umakini wowote ule , na ndio maana wezi wa Taifa wako kila mwaka na wengi wao baada ya kuharibu mahali pale wanahamishiwa pengine , ama wanapandishwa vyeo .
Sasa kwa kufupisha , Swali langu ni dogo tu , Ni akina nani waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ambao waliwahi kushitakiwa Mahakamani au kuhukumiwa kwa Haki ?
Tumekwisha washtaki kwa "mungu". hapana, niseme "TUMEWATISHIA" na "mungu".Ilimkata mzabun wa bil600
Na kuumpa wa tillion1.1
Bila sababu za msingi..daah
Eee,Bhwanah!Shida ukaguzi unafanyika kiuhasibu ila report inakuwa presented kisiasa.kumbuka CAG akikukuta huna supporting document ya matumizi yoyote hata kama yamefanyika kihalali utaambiwa umekula hizo pesa.Ndo maana kuchukuliwa hatua sio rahisi.
Duh, wewe ni shida!Siasa tu