Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Duh inasikitisha ila nikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh inasikitisha ila nikweli
Aloo Mbowe anakukera sanaUnadhani asali anayolamba Mbowe na Zitto unatoka wapi?
Kwakweli nilimshangaa alivoshauri kwamba kama vipi wahamishwe. Naona mauzauzaHakuna consequences zozote.
Rais kasema mkimkamata mwizi na mkakuta taratibu zenu za utumishi haziruhusu kumchukulia hatua basi mhamishieni kwenye kitengo ambacho hakina hela. Sasa kwa nini mkuu wa nchi asihoji, asizipinge na kuzibadilisha kanuni za utumishi zinazomlinda mwizi ?
Yeye huyo huyo jana hiyo hiyo katukana watu walioshindwa kuhoji vitu vya dhahiri visivyoingia akilini vinavyoliumiza Taifa kwamba ni watu stupid! Akarudia tena kwa Kiswahili "puumbav." Yeye huyo huyo!
[emoji38][emoji38][emoji38]Eee,Bhwanah!
Hebu tueleze wewe mtaalam kuhusu ile hela ya ndege, au hizi tenda za gharama ya chini kukataliwa na kuchuliwa ile ya aghali zaidi.
Hebu tueleze hilo nalo linakuwaje. Tupo tayari kujifunza toka kwako mkuu!
Ndio maana tumeuliza mkuuKwakweli nilimshangaa alivoshauri kwamba kama vipi wahamishwe. Naona mauzauza
TAMISEMI wanafanya dili za kuhamisha wahalifu haoNdio maana tumeuliza mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38]Mada kama hizi hazichangiwi na watu wengi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo watz hufuatilia zaidi mambo kama ya Yanga/Simba na story za Diamond/Harmonize ,Kajala or Zuchu....... hahahaha[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo Mbowe ni gaidi aliyetaka kuuwa viongozi!Duh, wewe ni shida!
matumizi gani yanayofanyika kihalali bila supporting documents? Hizo ni fixi tu. Malipo lazima yaidhinishwe na mkuu wa taasisi au muhusika aliyeruhusiwa kisheria (kulingana na kiwango) na halafu kuwe na risiti za kuthibitisha matumizi.Shida ukaguzi unafanyika kiuhasibu ila report inakuwa presented kisiasa.kumbuka CAG akikukuta huna supporting document ya matumizi yoyote hata kama yamefanyika kihalali utaambiwa umekula hizo pesa.Ndo maana kuchukuliwa hatua sio rahisi.
Ni vzr hoja hii ijibiwe kikamilifu na wafia CCM wakiongozwa na Johnthebaptist!Hili ni Swali ambalo Watanzania tunapaswa kujiuliza , kwamba kwa miaka mingi ofisi ya CAG imejitahidi sana kuanisha mapungufu , Wizi , upotevu na Uchafu wote unaofanywa kwenye mashirika na idara za serikali , wako walioonyeshewa vidole moja kwa moja ( Wengi wao majina yao yanafahamika )
Lakini kwa miaka yote hiyo hakuna hatua zozote za kisheria zimechukuliwa dhidi ya Watuhumiwa hao wanaofahamika ( niko tayari kusahihishwa ) .
Sisi Wananchi tumeanza kuitilia mashaka Serikali yetu kwamba ripoti ya CAG yaweza kuwa mbinu ya kizamani ya serikali ya ccm ya Kupumbaza wananchi ili waone kwamba serikali yao iko makini , CAG yuko Makini , Takukuru iko Makini , Rais anafokea wezi na mchwa wa Taifa , au Rais Kanuna nk . wakati kwenye ukweli Serikali haina umakini wowote ule , na ndio maana wezi wa Taifa wako kila mwaka na wengi wao baada ya kuharibu mahali pale wanahamishiwa pengine , ama wanapandishwa vyeo .
Sasa kwa kufupisha , Swali langu ni dogo tu , Ni akina nani waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ambao waliwahi kushitakiwa Mahakamani au kuhukumiwa kwa Haki ?
Hawana uwezo wa kujibuNi vzr hoja hii ijibiwe kikamilifu na wafia CCM wakiongozwa na Johnthebaptist!
.Hili ni Swali ambalo Watanzania tunapaswa kujiuliza , kwamba kwa miaka mingi ofisi ya CAG imejitahidi sana kuanisha mapungufu , Wizi , upotevu na Uchafu wote unaofanywa kwenye mashirika na idara za serikali , wako walioonyeshewa vidole moja kwa moja ( Wengi wao majina yao yanafahamika )