| Felician V. M. Nkwera | |
| Amezaliwa | 28 Aprili 1936 (umri 89) Lwilo |
|---|---|
| Nchi | Tanzania |
| Makazi | Riverside, Dar es salaam |
| Anafahamika kwa | Padri Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mAma Bikira Maria |
Duuh polee yake.Ni Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mama Bikira Maria na padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki na mwandishi nchini Tanzania.
Kwanini alitengwa??Ni Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mama Bikira Maria na padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki na mwandishi nchini Tanzania.
Huyu ndiye yule alipata misukosuko kwa kusali kama walokole na pia aliandika kitabu kilichotumika mashuleni miaka ya 1980s?
Hebu tiririka zaidi kwa 3D (mapana marefu na kina) mama DNi Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mama Bikira Maria na padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki na mwandishi nchini Tanzania.
Kwanini alitengwa??
Felician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki [2] na mwandishi nchini Tanzania.Hebu tiririka zaidi kwa 3D (mapana marefu na kina) mama D
| Felician V. M. Nkwera | |
| Amezaliwa | 28 Aprili 1936 (umri 89) Lwilo |
|---|---|
| Nchi | Tanzania |
| Makazi | Riverside, Dar es salaam |
| Anafahamika kwa | Padri Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mAma Bikira Maria |
Asante sana mama DFelician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki [2] na mwandishi nchini Tanzania.
Felician V. M. Nkwera Amezaliwa 28 Aprili 1936 (umri 89)
LwiloNchi Tanzania Makazi Riverside, Dar es salaam Anafahamika kwa Padri Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mAma Bikira Maria
Maisha yake
Wazazi wa Padri Nkwera walikuwa ni Venant Nkwera (baba) na Emmaculata Mhagama (mama).
Alipata upadirisho mwaka 1968 akaanza huduma ya maombezi akiwa bado padri kijana mkoani Tabora na baadaye kuhamia jijini Dar es Salaam. Ni huduma ambayo imemfanya awe kwenye mgogoro mkubwa na jimbo alilokuwa akilihudumia wakati huo; mgogoro huo ukafika makao makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na baadaye Roma.
Ni huduma ambazo wenye imani wamekuwa wakikiri kwa kinywa na maandishi kwamba wameponywa huku rozari, maji ya baraka na sala vikiwa ndio msingi mkuu wa maombi yaliyopelekea kuponywa huko. Shuhuda za uponywaji wa wagonjwa zinaandikwa ama kusimuliwa na wahusika wenyewe.[3]
Muda mrefu umepita tangu Padri Nkwera asimamishwe kuhudumia Kanisa. Baadhi wanakosoa huduma hizi za maombezi, hasa wakiangazia namna sakata hili lilivyoanza. Baadhi wanaangalia sababu kuu ni ukaidi, huku wakiainisha bayana kwamba Padri Nkwera hakuwa mtii kwa aliyekuwa kiongozi wake kwa wakati huo alipokuwa akilihudumia Jimbo Katoliki la Njombe na zaidi hakutii maamuzi na maelekezo yaliyotolewa na viongozi wake wakubwa yaani maaskofu, Baraza la Maaskofu na hata Kardinali Polycarp Pengo kwa wakati huo.[4]
Kesi mahakamani
Padri Felician V. Nkwera amekuwa na kesi nyingi mahakamani huku baadhi ya waumini au wafuasi wake pia wakiwa na kesi zenye sura tofautitofauti.
Vitabu na machapisho yake
Ina maana kanisa lilikuwa against uponyaji?Ni huduma ambazo wenye imani wamekuwa wakikiri kwa kinywa na maandishi kwamba wameponywa huku rozari, maji ya baraka na sala vikiwa ndio msingi mkuu wa maombi yaliyopelekea kuponywa huko. Shuhuda za uponywaji wa wagonjwa zinaandikwa ama kusimuliwa na wahusika wenyewe.[3]
Alitengwa kwa sababu ya kufanya huduma ya maombezi??Ni Mwasisi wa Kituo Cha Maombezi cha mama Bikira Maria na padri aliyetengwa na Kanisa Katoliki na mwandishi nchini Tanzania.
Ina maana kanisa lilikuwa against uponyaji?
Je lilinufaika na nini kwa waumini kuishi katika mateso?
Madhehebu mengi hasa haya ya Katoliki, Anglican na Lutheran hayataki wokovu, yaani hayataki maombi, ukifanya maombi yanataka sheria zao kama litrugia, unatengwa na kanisa ukifanya hayo na hii ndio sababu wahubiri wengi wameamua kuacha Madhehebu na kuanzisha makanisa yao...Alitengwa kwa sababu ya kufanya huduma ya maombezi??
Umeandika kwanba alikuwa na kesi nyingi, unaweza fafanua kiasi kesi zilihusu nini (nimeshangaa padri kuwa na kesi mahakamani, anashtaki ama anashtakiwa ~ kwa nini)
Rudi usome kwa umakiniAlitengwa kwa sababu ya kufanya huduma ya maombezi??
Umeandika kwanba alikuwa na kesi nyingi, unaweza fafanua kiasi kesi zilihusu nini (nimeshangaa padri kuwa na kesi mahakamani, anashtaki ama anashtakiwa ~ kwa nini)