Lamar awapiga bao mastaa wa USA, aweka rekodi Bongo

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
AMEKUWA MBONGO WA KWANZA KUNUNUA TOLEO JIPYA LA SNEAKERS ZA YEEZY ZA KANYE WEST, UNAAMBIWA KUNA MASTAA AMBAO HATA MAREKANI BADO HAWAJAVIPATA
HONGERA LAMAR KWA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA

[h=1]PRODUCER LAMAR AMENUNUA PAIR MOJA YA VIATU HIVI KWA ZAIDI YA LAKI 5[/h] 0 Posted on February 14, 2015 RUMORS

Hiki kiatu hata mastaa wengine wakubwa wa US of A bado hawajavinunua lakini producer na C.E.O wa Fish Crab anaonekana kwamba ameshalipa mpunga mwingi kununua hivyo viatu. Viatu vyenyewe ni Yeezy Boost Sneakers by Kanye West and Adiddas ambazo zimeanza kuuzwa hivi karibuni.
Kanye West mwenyewe alitangaza kwamba vitauzwa kwa dola 350 ambazo kwa pesa za kibongo zinazidi 500,000. So, ukitaka pair moja ya viatu kama hivi ambavyo Lamar alivyoonyesha kwenye instagram page yake zitakutoka zaidi ya laki 5.
Lamar ameonyesha viatu hivyo ambavyo labda vimemfikia au bado na kuandika caption ya “catch me If u can”. Kama kweli ameshaagiza au kununua kabisa basi kwa asilimia kubwa anaweza kuwa superstar wa kwanza kutoka area 255 kununua hivi viatu. Fuatilia all255 tukiendelea kuchekiana na Lamar kuthibitisha post yake

 
Duh, bongo mpaka kununua kiatu news?

Na mtu akinunua kiwanda cha viatu je?

Kununua hicho kiatu kama cha viwete kwa mamia ya dollar ndiyo ujanja?

Kila mtu aliyeko unyamwezini akiamua kuweka shoeracks zilizojaa Clarks, Ferragamo, Prada, Armani, Rush etc, patatosha hapa?

And to think that nulikuwa nashangaa watu wanashangaa mtu kupanda ndege!
 
Kuna ule wimbo wa kimanyema wa Gere mama una mstari usemao 'fahari ndie mama wa ujinga, wewe mtu wa mia wataka elfu nne.....!!'
 
Watu8 na Kiranga angalieni kwa majicho ya tatu,mleta mada anamkebehi Lamar sio kwamba anampa big up,ikiletwa habari za design hizo msione kama news ya kumsifia bali za kumuona kama mshamba.
 
Last edited by a moderator:
Bado tuna safari ndefu ya kuondoka kwenye zama za upunguani ikiwa hata kununua kiatu ni breaking news..
 
Last edited by a moderator:
Bado tuna safari ndefu ya kuondoka kwenye zama za upunguani ikiwa hata kununua kiatu ni breaking news..
Kwa tunayezifahamu posts za maatope, si kwamba anatoa big up, ni kwamba anamkejeli huyo Lamar!
 
Last edited by a moderator:
Yaan nimecheka looooo eti ameitangaza Tz jamaniiii
 
Hapo napata viatu vyeusi vya kuvalia suti kama 20 au 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…