maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
AMEKUWA MBONGO WA KWANZA KUNUNUA TOLEO JIPYA LA SNEAKERS ZA YEEZY ZA KANYE WEST, UNAAMBIWA KUNA MASTAA AMBAO HATA MAREKANI BADO HAWAJAVIPATA
HONGERA LAMAR KWA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA
[h=1]PRODUCER LAMAR AMENUNUA PAIR MOJA YA VIATU HIVI KWA ZAIDI YA LAKI 5[/h] 0 Posted on February 14, 2015 RUMORS

Hiki kiatu hata mastaa wengine wakubwa wa US of A bado hawajavinunua lakini producer na C.E.O wa Fish Crab anaonekana kwamba ameshalipa mpunga mwingi kununua hivyo viatu. Viatu vyenyewe ni Yeezy Boost Sneakers by Kanye West and Adiddas ambazo zimeanza kuuzwa hivi karibuni.
Kanye West mwenyewe alitangaza kwamba vitauzwa kwa dola 350 ambazo kwa pesa za kibongo zinazidi 500,000. So, ukitaka pair moja ya viatu kama hivi ambavyo Lamar alivyoonyesha kwenye instagram page yake zitakutoka zaidi ya laki 5.
Lamar ameonyesha viatu hivyo ambavyo labda vimemfikia au bado na kuandika caption ya catch me If u can. Kama kweli ameshaagiza au kununua kabisa basi kwa asilimia kubwa anaweza kuwa superstar wa kwanza kutoka area 255 kununua hivi viatu. Fuatilia all255 tukiendelea kuchekiana na Lamar kuthibitisha post yake