Lamar awapiga bao mastaa wa USA, aweka rekodi Bongo

Watu8 na Kiranga angalieni kwa majicho ya tatu,mleta mada anamkebehi Lamar sio kwamba anampa big up,ikiletwa habari za design hizo msione kama news ya kumsifia bali za kumuona kama mshamba.

Kumkebehi kwa kumpa promo hapa ni kujikebehi mwenyewe.

Mi nilikuwa sijui kama kuna kiumbe kama huyu duniani, sasa kashanilazimisha kumjua.

Ukisema unamkebehi mtu, wengine watakwambia there is no bad publicity in show business, just publicity.
 
Last edited by a moderator:
Inaonesha Kiranga na Watu8 , na hata mkuu KikulachoChako hawamfahamu vizuri maatope. Kwa sie tunaemfahamu, ulichosema wewe King Kong III ndicho hasa alichomaanisha maatope.

There is no bad publicity in show business.

Hata ukimtukana mtu umempa promo kwa maana wasiomjua watamjulia kwako.

Kwa hiyo kutumia muda wakonkumkebehi mtu JF kihivyo ni kujikebehi mwenyewe.

Mimi nilikuwa aomjui huyu mtu, lakini sasa hivi thanks to "kebehi" za mleta mada nimemjua.

The joke is on mleta mada.
 
hayo unayosema hayaepukiki katika jamii kv huyo Lamar tayari kuna wengi, husuani wafuatiliaji wa muziki wa bongo flavor wanamfahamu na haidhuru hata kama kuna wengine walikuwa hawamfahamu na wamemfahamu leo. the main point ni kwamba, lengo la maatope halikuwa kumfagilia Lamar kama ilivyotafsiriwa na wengine lakini ilikuwa kumkejeli bila kujali ikiwa kumkejeli huko kutamuongezea umaarufu Lamar au vinginevyo.
 
Kumkejeli kwa kumpa promo mtu bila kulipwa ni kujikejeli mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hater nani? Anayetoa promo kwa kejeli?
jombaa nini shida? nime quote blog ya all255..tena inawezekana yeye ndiye wa kwanza kununua hicho kiatu kinachouzwa pesa mingi kwa east africa
That's big meeeen
catch him if you can
 
Duh, bongo mpaka kununua kiatu news?

Na mtu akinunua kiwanda cha viatu je?

Kununua hicho kiatu kama cha viwete kwa mamia ya dollar ndiyo ujanja?

Kila mtu aliyeko unyamwezini akiamua kuweka shoeracks zilizojaa Clarks, Ferragamo, Prada, Armani, Rush etc, patatosha hapa?

And to think that nulikuwa nashangaa watu wanashangaa mtu kupanda ndege!
Mojawapo ya viatu ambavyo nikinunua nitachezea bakora sana kwa wife ,ni vibaya mno kwa mtazamo wangu ,naKIRANGA uko sahihi hata mie hisia yangu ya mwanzo ni mtu mlemavu wamiguu ndio vinamfaa!
 
Duh, bongo mpaka kununua kiatu news?

Na mtu akinunua kiwanda cha viatu je?

Kununua hicho kiatu kama cha viwete kwa mamia ya dollar ndiyo ujanja?

Kila mtu aliyeko unyamwezini akiamua kuweka shoeracks zilizojaa Clarks, Ferragamo, Prada, Armani, Rush etc, patatosha hapa?

And to think that nulikuwa nashangaa watu wanashangaa mtu kupanda ndege!

Mbona hata kuzalia Cedars-Sinai nayo ni habari.

Kuna kipindi fulani hivi yule mdada blogger alienda kujifungulia mwanae Cedars-Sinai na kurusha mapicha kibao na kusema sijui kajifungulia hospitali ambayo Kim K alijifungulia.

Basi watu na ushamba wao wakadhani ni jambo fulani bab kubwa sana wakati ni jambo la kawaida tu kwani hata watu wasio ma celebrity huenda Cedars-Sinai kupata matibabu ya kila aina ikiwemo kujifungua.

Na hayo yalirushwa na mtu ambaye supposedly yuko sophisticated enough na anaishi majuu.
 
Duh, bongo mpaka kununua kiatu news?

Na mtu akinunua kiwanda cha viatu je?

Kununua hicho kiatu kama cha viwete kwa mamia ya dollar ndiyo ujanja?

Kila mtu aliyeko unyamwezini akiamua kuweka shoeracks zilizojaa Clarks, Ferragamo, Prada, Armani, Rush etc, patatosha hapa!

teh teh teh yale yale ya kupanda BUSSINESS CLASS
 
Japo ni haki yangu ya msingi kupata khabari lakini hii hapana ina maana hakuna khabari au?
 
Mbona hata kuzalia Cedars-Sinai nayo ni habari.

Kuna kipindi fulani hivi yule mdada blogger alienda kujifungulia mwanae Cedars-Sinai na kurusha mapicha kibao na kusema sijui kajifungulia hospitali ambayo Kim K alijifungulia.

Basi watu na ushamba wao wakadhani ni jambo fulani bab kubwa sana wakati ni jambo la kawaida tu kwani hata watu wasio ma celebrity huenda Cedars-Sinai kupata matibabu ya kila aina ikiwemo kujifungua.

Na hayo yalirushwa na mtu ambaye supposedly yuko sophisticated enough na anaishi majuu.

Na mie basi naweza kusema natumia daraja moja na Jigga.

SMH.
 
Back
Top Bottom