Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

S2kizzy anajua bhana, waache nongwa.

Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.

Tatizo ambalo hua naliona kwa watu wengi wanaofanya kazi na diamond ni kujipandisha kupitiliza, kitu ambacho pia n sahihi mana wanaji-brand
 
Lamar ana hoja

Wasanii wakubwa wana advantage
  • Tayari wana majina makubwa sokoni
  • Wana mashabiki wengi wa kusukuma kazi zao
  • Wana bajeti kubwa za promotion na marketing
  • Wanapata airtime kirahisi redioni na TV
  • Wanapewa coverage kubwa na media nje ya muziki
  • Wana connections kubwa ndani ya industry
  • Ngoma zao zinaingia kirahisi kwenye playlists na trends
  • Wana support kutoka label, management na sponsors
  • Wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii
  • Wana nguvu ya collabo na influence ya wasanii wengine wakubwa

huwezi kufananisha na producer anaemtoa msanii underground
  • Producer anamsaidia msanii underground kujenga na kupata sound yake
  • Anaumiz kichwa kutengenezea beats zinazoendana na jinsi msanii anavyoimba
  • Humuongoza jinsi ya ku-deliver wimbo vizuri (vocal, flow, energy)
  • Humpa uelekeo wa nini aondoe na nini aongeze
  • underground hana mashabiki wengi, ni producerhutumia sikio lake kuona kama kazi inafaa au mbovu
Baada ya hapo msanii akitoka inakuwa kazi rahisi sana kwa maproducer wengine kumuandalia muziki, wanajua aina ya beat zake, sound yake, n.k.
 
Lamar ana hoja

Wasanii wakubwa wana
  • Tayari wana majina makubwa sokoni
  • Wana mashabiki wengi wa kusukuma kazi zao
  • Wana bajeti kubwa za promotion na marketing
  • Wanapata airtime kirahisi redioni na TV
  • Wanapewa coverage kubwa na media nje ya muziki
  • Wana connections kubwa ndani ya industry
  • Ngoma zao zinaingia kirahisi kwenye playlists na trends
  • Wana support kutoka label, management na sponsors
  • Wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii
  • Wana nguvu ya collabo na influence ya wasanii wengine wakubwa

huwezi kufananisha na msanii underground ambae anategemea zaidi ubora wa kazi
All in all zombie anajua bhana
 
Kuna tofauti ya kufanya kitu unachokipenda na kufanya kitu cha kutimiza mahitaji yako.

Muziki wa Tanzania bado una kona nyingi kwenye kuutegemea kama chanzo cha kipato rasmi,

Gereji ina pesa ya uhakika
Garage ikiwa standard Ina Hela sana Tena sana kuliko kuwa producer tz ukiwa producer utaishia kuwa chawa
 
Garage ikiwa standard Ina Hela sana Tena sana kuliko kuwa producer tz ukiwa producer utaishia kuwa chawa
Tanzania producers wanalipwa studio fee, biashara imeishia hapo, Nchi zinazojali sheria na mfumo mzuri wa makusanyo humtambua producer kama muhusika wa muziki, Producer ananufaika na kiasi fulani pale wimbo au beat yake inapotumika kibiashara analipwa.
  • Producer points (master royalties)
  • Streaming royalties
  • Publishing royalties
  • Performance royalties (radio, TV, concerts)
  • Mechanical royalties
  • YouTube Content ID revenue
  • TikTok/Instagram usage royalties
  • Sync licensing (movies, ads, Netflix, games)
  • Sample clearance payments
  • Album sales percentage
  • Digital download royalties
  • International royalty collections
  • Catalog/licensing income for years after the hit drops
 
Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.
Niliposikiliza nyimbo ya mboso inaitwa Jirani yangu ambayo watoto wa paka wanaiita Merijaah nikaikagua vizuri ndipo nilipokuja kuona mapungufu ya huyo produsa wa kizazi cha GenZ mnaemsifia, ile nyimbo nzuri imeimbwa vizuri ila produsa kabolonga sana hata ukiisikiliza tu unagundu mapungufu ya produsa yaan ile nyimbo inahitaji drums, keyboard, saxophone, piano kidogo, trumpet ziwe mwanzo pale kumsindikiza mboso kwa nyuma, ikichanganya ukapiga piano kidogo, kwenye ile half bridge zinapigwa ngoma za kutosha km sebene fulani za taratibu, yaan nyimbo imekosewa kila kitu kamixlaiza sijui kamix nini
 
S2kizzy anajua bhana, waache nongwa.

Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.

Tatizo ambalo hua naliona kwa watu wengi wanaofanya kazi na diamond ni kujipandisha kupitiliza, kitu ambacho pia n sahihi mana wanaji-brand
Ila kinachonishangaza ni kwamba. Ni kama %60 ya kazi anazofanya na mondi na vanny boy, haziishi(hazidumu), licha ya kuhit!!
 
Back
Top Bottom