Wewe ndio inabidi uoneshe wapi inaonesha hiko unachosemaJaribu japo kupitia tu nyuzi zako za nyuma,
Ndio utaelewa comment yangu imemaanisha nini,
Uzuri JF tunajuana kwa kumbukumbu ya maandishi
Wewe ndio inabidi uoneshe wapi inaonesha hiko unachosemaJaribu japo kupitia tu nyuzi zako za nyuma,
Ndio utaelewa comment yangu imemaanisha nini,
Uzuri JF tunajuana kwa kumbukumbu ya maandishi
Najua umesha jua tayari.Wewe ndio inabidi uoneshe wapi inaonesha hiko unachosema
NaamUkifanya kazi na Diamond tayari ushanyanyua brand, unatakiwa kazia huko huko juu
Hakuna industry ambayo unatakiwa ku protect brand unapo nyanyuka kama ya entertainment . ( brand = mshiko ambao mtu atakamanata ) brand ikifa au ikiwa chini ndio anguko lenyeweNaam
Labda Mimi nimeanza kumsikiliza S2kzy LeoLamar ana hoja
Wasanii wakubwa wana advantage
- Tayari wana majina makubwa sokoni
- Wana mashabiki wengi wa kusukuma kazi zao
- Wana bajeti kubwa za promotion na marketing
- Wanapata airtime kirahisi redioni na TV
- Wanapewa coverage kubwa na media nje ya muziki
- Wana connections kubwa ndani ya industry
- Ngoma zao zinaingia kirahisi kwenye playlists na trends
- Wana support kutoka label, management na sponsors
- Wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii
- Wana nguvu ya collabo na influence ya wasanii wengine wakubwa
huwezi kufananisha na producer anaemtoa msanii underground
Baada ya hapo msanii akitoka inakuwa kazi rahisi sana kwa maproducer wengine kumuandalia muziki, wanajua aina ya beat zake, sound yake, n.k.
- Producer anamsaidia msanii underground kujenga na kupata sound yake
- Anaumiz kichwa kutengenezea beats zinazoendana na jinsi msanii anavyoimba
- Humuongoza jinsi ya ku-deliver wimbo vizuri (vocal, flow, energy)
- Humpa uelekeo wa nini aondoe na nini aongeze
- underground hana mashabiki wengi, ni producerhutumia sikio lake kuona kama kazi inafaa au mbovu
Wimbo haudumu kwanini unamuhukumu Producers pekee. Kwanini hupimi ubora wa msanii pia.Ila kinachonishangaza ni kwamba. Ni kama %60 ya kazi anazofanya na mondi na vanny boy, haziishi(hazidumu), licha ya kuhit!!
You know music boyS2kizzy yupo vizuri kuna vitu vichache sana anapungukiwa ila siwezi kum-under-rate kihivyo, moja ya ahadi zake ambazo hajazitekeleza ni baada ya ile award ya mchongo KTMA ambayo waliondoa K ikaitwa TMA kubeba makombe mengi aliahidi kunyanyua chipukizi wafike juu akaahidi ataanzia huko viziwani atarikodi studio sessions bure kabisa vijana wa huko chipukizi viziwani lakini hakufanya hivyo au amefanya bila kuonyesha alichokifanya, kuna vitu vichache zana akiviongezea kwenye mangoma yake S2kizzy atakua hashikiki wallah kabisa yaan atatisha ziaidi ya balaa
Km anapita na kusoma hapa atakua umenielewa kuna vitu tu aviongezea kuna baadhi ya ala za muziki huwezi kuzikuta S2kizzy anazitumia aidha hawezi kuzitumia hajui kuzipangilia na ala zingine za muziki au hataki kuzitumia mfano anapenda kutumia Buruji badala ya Tarumbeta na hapendi kabisa kutumia Zumari, Kayamba, Marimba, Msondo ndio anauogopa mara nyingi hua anatumia Chapuo au Banjo au Gambusi ni tofauti kabisa km ambavyo anavyofanya Abbah Process, Mocco Genius hata BBOY Beats
Topic ni hajawai mtoa msanii underground akawa staa.Labda Mimi nimeanza kumsikiliza S2kzy Leo
Ila S2kzy kitambo amekuwa akinyoosha mikwaju kibao kabla hata diamond hajajiambatanisha nae.
Tumesahau mikwaju ya Country Wizi yule wa moto
Tumesahau ile mikwaju ya Chin Biz
Tumesahau ile mikwaju ya Mwanzo ya Whozu. Whozu alikuwa hata hafahamiki.
Waache nongwa Hawa wakongwe
Kwanza S2kzy aliaambiwa ni upepo tu atapita kama producers wengine kama Nahreal na wengine wengi Ambao diamond amewahi kupita nao.
Sasa kama tayari ashajiweka kwenye daraja la kufanya kazi na hao wasanii wakubwa unataka ajishushe afanye kazi na wasanii wadogo?Lamar ana hoja
Wasanii wakubwa wana advantage
- Tayari wana majina makubwa sokoni
- Wana mashabiki wengi wa kusukuma kazi zao
- Wana bajeti kubwa za promotion na marketing
- Wanapata airtime kirahisi redioni na TV
- Wanapewa coverage kubwa na media nje ya muziki
- Wana connections kubwa ndani ya industry
- Ngoma zao zinaingia kirahisi kwenye playlists na trends
- Wana support kutoka label, management na sponsors
- Wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii
- Wana nguvu ya collabo na influence ya wasanii wengine wakubwa
huwezi kufananisha na producer anaemtoa msanii underground
Baada ya hapo msanii akitoka inakuwa kazi rahisi sana kwa maproducer wengine kumuandalia muziki, wanajua aina ya beat zake, sound yake, n.k.
- Producer anamsaidia msanii underground kujenga na kupata sound yake
- Anaumiz kichwa kutengenezea beats zinazoendana na jinsi msanii anavyoimba
- Humuongoza jinsi ya ku-deliver wimbo vizuri (vocal, flow, energy)
- Humpa uelekeo wa nini aondoe na nini aongeze
- underground hana mashabiki wengi, ni producerhutumia sikio lake kuona kama kazi inafaa au mbovu
Na hao wasanii wakubwa ndio wanamfuata wafanye nae kazi kama asingekuwa Bora kwanini wanamkimbiliaSasa kama tayari ashajiweka kwenye daraja la kufanya kazi na hao wasanii wakubwa unataka ajishushe afanye kazi na wasanii wadogo?
Hii ni sawa na kusema Gadiora azikatae hofa za wakina bayern munich, psg na timu zingine kubwa halafu afundishe fulham kudhihirirsha ubora wake.
Kama ashajiwekea class ya kufanya kazi na wasanii wakubwa mwache apige hela
Ndio hapo sasa.Na hao wasanii wakubwa ndio wanamfuata wafanye nae kazi kama asingekuwa Bora kwanini wanamkimbilia
Sisi wabongo tunashida ya kuwa na wivu hasa tukiona mtu aliyefanikiwa au ukiwa top kwenye game ndio maana waproducers wenzake hawampendi nimeshangaa Kuna producer anamkanda as if yeye ni shabikiNdio hapo sasa.