Lamar ana hojaS2kizzy anajua bhana, waache nongwa.
Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.
Tatizo ambalo hua naliona kwa watu wengi wanaofanya kazi na diamond ni kujipandisha kupitiliza, kitu ambacho pia n sahihi mana wanaji-brand
Kaacha legacy kubwa kwenye historia ya Bongo Fleva.Lamar,, kweli kutesa kwa zamu. Hasikiki tena,akina Mr. T-touch, kimya wote..
Atakua aliona kwa upande wake garage ndio fursa nzuri, Kuna kipindi pia niliskia anamiliki restaurantKaacha legacy kubwa kwenye historia ya Bongo Fleva.
Siku hizi yupo garage yake pale Kinondoni Studio inaitwa we fix by Lamar
Legacy Kitu gn bhanaKaacha legacy kubwa kwenye historia ya Bongo Fleva.
Siku hizi yupo garage yake pale Kinondoni Studio inaitwa we fix by Lamar
All in all zombie anajua bhanaLamar ana hoja
Wasanii wakubwa wana
- Tayari wana majina makubwa sokoni
- Wana mashabiki wengi wa kusukuma kazi zao
- Wana bajeti kubwa za promotion na marketing
- Wanapata airtime kirahisi redioni na TV
- Wanapewa coverage kubwa na media nje ya muziki
- Wana connections kubwa ndani ya industry
- Ngoma zao zinaingia kirahisi kwenye playlists na trends
- Wana support kutoka label, management na sponsors
- Wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii
- Wana nguvu ya collabo na influence ya wasanii wengine wakubwa
huwezi kufananisha na msanii underground ambae anategemea zaidi ubora wa kazi
Kaacha legacy kubwa kwenye historia ya Bongo Fleva.
Siku hizi yupo garage yake pale Kinondoni Studio inaitwa we fix by Lamar
Kuna tofauti ya kufanya kitu unachokipenda na kufanya kitu cha kutimiza mahitaji yako.Ana kipaji kikubwa.
Garage ya kitu gani?
Kuna tofauti ya kufanya kitu unachokipenda na kufanya kitu cha kutimiza mahitaji yako.
Muziki wa Tanzania bado una kona nyingi kwenye kuutegemea kama chanzo cha kipato rasmi,
Gereji ina pesa ya uhakika
Yule si producer ni beat maker tu alafuMika Mwamba kafanya kazi kabla sijaujua mziki ila najua kipani chake na kazi zake naziheshimu. S2kizzy ana watu wake ila kwangu hata hamfikii Man Water.
Garage ikiwa standard Ina Hela sana Tena sana kuliko kuwa producer tz ukiwa producer utaishia kuwa chawaKuna tofauti ya kufanya kitu unachokipenda na kufanya kitu cha kutimiza mahitaji yako.
Muziki wa Tanzania bado una kona nyingi kwenye kuutegemea kama chanzo cha kipato rasmi,
Gereji ina pesa ya uhakika
Tanzania producers wanalipwa studio fee, biashara imeishia hapo, Nchi zinazojali sheria na mfumo mzuri wa makusanyo humtambua producer kama muhusika wa muziki, Producer ananufaika na kiasi fulani pale wimbo au beat yake inapotumika kibiashara analipwa.Garage ikiwa standard Ina Hela sana Tena sana kuliko kuwa producer tz ukiwa producer utaishia kuwa chawa
Niliposikiliza nyimbo ya mboso inaitwa Jirani yangu ambayo watoto wa paka wanaiita Merijaah nikaikagua vizuri ndipo nilipokuja kuona mapungufu ya huyo produsa wa kizazi cha GenZ mnaemsifia, ile nyimbo nzuri imeimbwa vizuri ila produsa kabolonga sana hata ukiisikiliza tu unagundu mapungufu ya produsa yaan ile nyimbo inahitaji drums, keyboard, saxophone, piano kidogo, trumpet ziwe mwanzo pale kumsindikiza mboso kwa nyuma, ikichanganya ukapiga piano kidogo, kwenye ile half bridge zinapigwa ngoma za kutosha km sebene fulani za taratibu, yaan nyimbo imekosewa kila kitu kamixlaiza sijui kamix niniTuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.
Ila kinachonishangaza ni kwamba. Ni kama %60 ya kazi anazofanya na mondi na vanny boy, haziishi(hazidumu), licha ya kuhit!!S2kizzy anajua bhana, waache nongwa.
Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.
Tatizo ambalo hua naliona kwa watu wengi wanaofanya kazi na diamond ni kujipandisha kupitiliza, kitu ambacho pia n sahihi mana wanaji-brand
Ila T Touch fundi aisee! Namkubali sana na dundo zake.Lamar,, kweli kutesa kwa zamu. Hasikiki tena,akina Mr. T-touch, kimya wote..