Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

Ila kinachonishangaza ni kwamba. Ni kama %60 ya kazi anazofanya na mondi na vanny boy, haziishi(hazidumu), licha ya kuhit!!
S2kizzy yupo vizuri kuna vitu vichache sana anapungukiwa ila siwezi kum-under-rate kihivyo, moja ya ahadi zake ambazo hajazitekeleza ni baada ya ile award ya mchongo KTMA ambayo waliondoa K ikaitwa TMA kubeba makombe mengi aliahidi kunyanyua chipukizi wafike juu akaahidi ataanzia huko viziwani atarikodi studio sessions bure kabisa vijana wa huko chipukizi viziwani lakini hakufanya hivyo au amefanya bila kuonyesha alichokifanya, kuna vitu vichache zana akiviongezea kwenye mangoma yake S2kizzy atakua hashikiki wallah kabisa yaan atatisha ziaidi ya balaa

Km anapita na kusoma hapa atakua umenielewa kuna vitu tu aviongezea kuna baadhi ya ala za muziki huwezi kuzikuta S2kizzy anazitumia aidha hawezi kuzitumia hajui kuzipangilia na ala zingine za muziki au hataki kuzitumia mfano anapenda kutumia Buruji badala ya Tarumbeta na hapendi kabisa kutumia Zumari, Kayamba, Marimba, Msondo ndio anauogopa mara nyingi hua anatumia Chapuo au Banjo au Gambusi ni tofauti kabisa km ambavyo anavyofanya Abbah Process, Mocco Genius hata BBOY Beats
 
Kiukweli

Jamaa sio mkali ila msanii wetu anapenda mtu anayesifika ndio awe karibu yake kwa kuwateka wale wanayemsifia

Jamaa wa kawaida ukiwalinganisha na maproduza wengine, ila sukaku usukuma, msanii wetu anapenda watu wanaosifika na kusikika sana awavute kwake ili wale wanaomsifia wawe upande wake

Toa nyimbo na isikike nchi nzima hata kama haujulikani wapambe wake watajifanya wanataka wakusogeze kwa msanii wetu na ukiingia king tu kipawa chako chote kinausha na hautojua kinaelekea wap? Huyo produza kipawa hakiwez kupotea kwa kuwa hawafanyi kitu kimoja

Kuwa naye makini sana wewe kama msanii huyo mwamba
 
Na wewe jiulize kwanini wasanii wakubwa wanakimbilia kufanya kazi kwa S2kizzy na sio kwa maproducers wengine?
 
S2kizzy anajua bhana, waache nongwa.

Tuachane Na mambo ya ukongwe katika game, tuangalia wakati wa sasa.

Tatizo ambalo hua naliona kwa watu wengi wanaofanya kazi na diamond ni kujipandisha kupitiliza, kitu ambacho pia n sahihi mana wanaji-brand
Ukifanya kazi na Diamond tayari ushanyanyua brand, unatakiwa kazia huko huko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…