Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

Labda Mimi nimeanza kumsikiliza S2kzy Leo

Ila S2kzy kitambo amekuwa akinyoosha mikwaju kibao kabla hata diamond hajajiambatanisha nae.

Tumesahau mikwaju ya Country Wizi yule wa moto

Tumesahau ile mikwaju ya Chin Biz


Tumesahau ile mikwaju ya Mwanzo ya Whozu. Whozu alikuwa hata hafahamiki.


Waache nongwa Hawa wakongwe


Kwanza S2kzy aliaambiwa ni upepo tu atapita kama producers wengine kama Nahreal na wengine wengi Ambao diamond amewahi kupita nao.
 
You know music boy
 
Topic ni hajawai mtoa msanii underground akawa staa.

Kama yupo mtaje.
 
Sasa kama tayari ashajiweka kwenye daraja la kufanya kazi na hao wasanii wakubwa unataka ajishushe afanye kazi na wasanii wadogo?

Hii ni sawa na kusema Gadiora azikatae hofa za wakina bayern munich, psg na timu zingine kubwa halafu afundishe fulham kudhihirirsha ubora wake.

Kama ashajiwekea class ya kufanya kazi na wasanii wakubwa mwache apige hela
 
Na hao wasanii wakubwa ndio wanamfuata wafanye nae kazi kama asingekuwa Bora kwanini wanamkimbilia
 
Ndio hapo sasa.
Sisi wabongo tunashida ya kuwa na wivu hasa tukiona mtu aliyefanikiwa au ukiwa top kwenye game ndio maana waproducers wenzake hawampendi nimeshangaa Kuna producer anamkanda as if yeye ni shabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…