Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
''ISIWE TABU'', LAMECK AIRO AAHIRISHA KUGOMBEA RORYA   Mbunge wa sasa wa Jimbo l ( 360 X 640 ).jpg


Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu.

Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito.

Chanzo: Watetezi TV
 
Atakuwa kapenyezewa nyepesi angekatwa akaona bora asepe mapema, mwenyekiti wao atakuwa hana hamu nae sababu ya ile kesi yake ya karibuni.
 
Back
Top Bottom