Lamine Yamal anajua mpira kuliko Vinjr

Lamine Yamal anajua mpira kuliko Vinjr

Vini ameshaprove uwezo wake kwenye michezo migumu na ya maamuzi. Huyo dogo aongeze bidii atafika tu.
Waulize France euro then uwaulize na Madrid kwenye match walizocheza nae msimu huu watasema
 
S

Sijamfananisha nimesema ana mzidi vin
Namimi nimesema Yamal anajua ball ila hajafikia uwezo wa Vini. Kuna ile time Vini aliipitia ya kuhandle pressure lakini hapohapo anatakiwa approve kiwango cha kucheza Madrid. Sio kitu ambacho Lamine anaweza ku experience.
 
Euro ya Spain mchango wa nani Barca saivi assist nyingi ni nani pressure ipo and he still 17
 
Vini ameshaprove uwezo wake kwenye michezo migumu na ya maamuzi. Huyo dogo aongeze bidii atafika tu.
dogo alishaprove tangu ile siku ambayo madrid alikula chuma 5. Brilliant performances kutoka kwake ni balaa kaka acha unazi
 
1741718596053.jpg
 
Vini ameshaprove uwezo wake kwenye michezo migumu na ya maamuzi. Huyo dogo aongeze bidii atafika tu.
michezo migumu ipi dogo kacheza euro na nakachukua na alikuwa anaamua mechi zingine hadi fainal alitoa assist ya kikubwa kabisa
 
Mmeanza vita vipya ile vita ya vile vizee viwili haikuwatosha.KWANI MKISEMA WACHEZAJI WALE NI WAZURI MTAKOSA NINI?AU KILA MTU AMSHANGILIE WAKWAKE UTASIKIA (BASI HUJUI MPIRA
 
Back
Top Bottom