MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Redirect Notice
images.app.goo.gl
Hehehe!! Jirani umeamua kutonesha kabisa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redirect Notice
images.app.goo.gl
Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi.
Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake.
Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa wakiwalazimisha wanawake kushuka kwenye bodaboda na kisha kuwacharaza viboko kama adhabu.
Viongozi hao walihoji kuwa wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Pia waliongezea kuwa hugusana na waendeshaji wao jambo ambalo halifahi kabisaa.
Kauli yake ilikaririwa na Diwani wa Bunge la Kaunti ya Lamu, Amani Kale ambaye aliwashauri wanawake wenzake Waislamu kujiepusha kutumia bodaboda hususan kama hawana jambo la dharura.
Chanzo: Tuko
hahahahahaaaaujinga ni pale unapojifanya Muumini wakati 100% unaishi maisha ya kikafir...
umesoma shule ukajua kuandika na kusoma ktk shule zilizowekwa n katiba ya kikafir.
-uavaanguo uloilipia kodi iliyotungwa na katiba ya kikafir
-unatumia cm n mitandao yakijamii ilopewa leseni n katiba ya kikafir.
-umejisajiri nida kwa sheria za katiba ya kikafir
-unakula chakula ulokilipia kodi kwa mujibu w katiba ga kikafir.
-unalala na kuamka km ulivopangiwa na katiba ya kikafir
-unatumia umeme uloletwa n katiba tn unalipa bili y umeme km ulivopanga pangiwa n katiba ya kikafir
-unatumia maji uloletewa na katiba na unayalipia km ulivopangiwa n katiba ya kikafir
yaani 100% unaishi maisha kwa mfumo wa kikafir halafu unajiita Muumini?
acheni utani bhana
Kuna mdada mmoja huku Mbezi shamba huwa anazungusha bodaboda yaani siku nilipopanda boda yake nilisikia raha mnoo, nikachukua namba yake ya simu.Redirect Notice
images.app.goo.gl
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tumeelewa tutapanda ngamia
Kuna mdada mmoja huku Mbezi shamba huwa anazungusha bodaboda yaani siku nilipopanda boda yake nilisikia raha mnoo, nikachukua namba yake ya simu.
Kila siku huwa nakwea hiyo boda
Wapekelewe usafiri wa bajajWawape option B sasa
Acha wivu bwashee [emoji23][emoji23]Jina lako linaendana na hii post yako....hehehe
we jamaa embu fanya namna turushie hiyo namba tumuunge mkono na sisiKuna mdada mmoja huku Mbezi shamba huwa anazungusha bodaboda yaani siku nilipopanda boda yake nilisikia raha mnoo, nikachukua namba yake ya simu.
Kila siku huwa nakwea hiyo boda
Hahahahah!Tumeelewa tutapanda ngamia