Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

Watu wanahangaika kufuata sheria za binadamu ambao miili yao inatawaliwa na tamaa, kupanda bodaboda kwa mtu kunamzuiaje asiingie mbinguni?

Watu wa zama hizo walikuwa ni watu very gullible kukubali mambo ya kipumbavu namna hii. Imani potofu kama hizi ingelikua ni leo ndio hizi dini zinaletwa hayo maeneo yao ya ibada yangekuwa tupu kabisa.

Watu wanajifanya wenyewe ndio Mungu, wao nani kawapa mamlaka ya kuwachunga wengine hapa duniani, je wao nani anawachunga? Wanafiki wakubwa hao mafarisayo. Very stupid.
 
ujinga ni pale unapojifanya Muumini wakati 100% unaishi maisha ya kikafir...

umesoma shule ukajua kuandika na kusoma ktk shule zilizowekwa n katiba ya kikafir.

-uavaanguo uloilipia kodi iliyotungwa na katiba ya kikafir

-unatumia cm n mitandao yakijamii ilopewa leseni n katiba ya kikafir.

-umejisajiri nida kwa sheria za katiba ya kikafir

-unakula chakula ulokilipia kodi kwa mujibu w katiba ga kikafir.

-unalala na kuamka km ulivopangiwa na katiba ya kikafir

-unatumia umeme uloletwa n katiba tn unalipa bili y umeme km ulivopanga pangiwa n katiba ya kikafir

-unatumia maji uloletewa na katiba na unayalipia km ulivopangiwa n katiba ya kikafir

yaani 100% unaishi maisha kwa mfumo wa kikafir halafu unajiita Muumini?

acheni utani bhana
 
Hizi dini hizi!!!! Ni bora tu tungebaki na dini za mababu zetu au kuwa mapagani. Kwanini wanaume ndiyo wasipigwe marufuku kupanda boda boda na kuwaachia wanawake ili ME wasigusane na KE na kupandisha nyege zao!?


 
hahahahahaaaa
 
Kuna mdada mmoja huku Mbezi shamba huwa anazungusha bodaboda yaani siku nilipopanda boda yake nilisikia raha mnoo, nikachukua namba yake ya simu.

Kila siku huwa nakwea hiyo boda

Jina lako linaendana na hii post yako....hehehe
 
Hii dini haijawahi kupredict ujio wa bodaboda... .
 
Kuna mdada mmoja huku Mbezi shamba huwa anazungusha bodaboda yaani siku nilipopanda boda yake nilisikia raha mnoo, nikachukua namba yake ya simu.

Kila siku huwa nakwea hiyo boda
we jamaa embu fanya namna turushie hiyo namba tumuunge mkono na sisi
 
Sasa mkiwakataza kupanda boda, ndio vijana tupone vipi? Mtachapiwa vivyo hivyo hata mkiwapiga Ban! Pambaff! 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…