Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Mamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninaoukubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu
Lx 70 series tdi
Haha hizo nyng za mashirika mtu binafsi unakuta ana mawe sanaMamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninayoikubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu
lakini ipo siku mjomba samyz nitautia mkononi huu mchuma
vipasso tushavichoka yaaan
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Izo n babkubwa uku chuga vfaru wengi wanazpenda sana..especialy wazee wa mererani unaambiwa ndo gari za pori izo..
Mamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninayoikubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu
lakini ipo siku mjomba samyz nitautia mkononi huu mchuma
vipasso tushavichoka yaaan
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Izo 80series kpnd cha nyuma mtu akipiga mawe merereran lazma avute yake ila zko poa san .. bt nw wanapendelea lx machopanzi hardtop nomaaila naona design kali ilikuwa ya 80 series na 100 series wadau, ni vile sijapata hizo penenge ila lazma ntakamata moja hasa 100 series respect
Lexus ni Toyota's luxury brand mkuu, sometimes wanaweka badge tu Kwa ajili ya soko fulani. Mfano ni Lexus rx 300 kama sijakosea ambayo pia ni Toyota harrier, alteza /Lexus. Ikiitwa Lexus tu na bei inakua juu.LC 80 haichuji ina engine 1HZ na nyingine zimefungwa 1HDT cc 4200,fuel consumption nzuri... In short ndio gari ninayo ikubali hapo. Afu kwanini matoleo haya yanarandana na Lexus SUVs!?!?
Kwani prado sio land cruiser? [emoji54]Land cruiser ni land cruiser tuu..Hazi chuji..Ni kama Prado..
hii ngoma ya 80 series ina pulling ya ajabu, ukute manual af dereva anajua kuipandishia gia utaipenda manIzo 80series kpnd cha nyuma mtu akipiga mawe merereran lazma avute yake ila zko poa san .. bt nw wanapendelea lx machopanzi hardtop nomaa
Off Road performance iko vizuri sana na watu wa Arusha wamezipa kick sana especially zile zinazotoka Japan for Australian Market.
Prado ni cruiser pia ila ambayo iliundwa iwe kama land cruiser nyepesi katika nyanja ya ukubwa wa body na wa engine yake ili kukabiliana na mahitaji ya watu waliotaka teknolojia ya land cruiser katika package ndogo, ni sawa kabisa na toleo la landrover la ile range rover evoque ili ije kusitiri wanaopenda range rover ila wenye budget ndogo.Kwani prado sio land cruiser? [emoji54]
Lexus ni Toyota's luxury brand mkuu, sometimes wanaweka badge tu Kwa ajili ya soko fulani. Mfano ni Lexus rx 300 kama sijakosea ambayo pia ni Toyota harrier, alteza /Lexus. Ikiitwa Lexus tu na bei inakua juu.
Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?
Mkuu hizo brand zinapishana kabisa, Lexus ilinunuliwa na Toyota na hawakutaka kubadili jina ila waliacha iwe luxurious car.
Utofauti unakua kwenye Taa, Front Bumper hata ndani inapishana kidogo nk
Mfano:
Harrier 2016
View attachment 349037
Lexus Rx
View attachment 349038
Alteza inaitwa AS na Lexus muundo huo inaitwa IS
Alteza AS
View attachment 349039
Lexus IS
View attachment 349040
Na hizi ni tofauti kati ya Landcruiser na Lexus mkuu
View attachment 349041
Wengo wanadhani ni Badge lakini zina utofauti hizi gari.
Ukitaka kujua kama Badge ni fake au imebandikwa tu kwa interest of Pimping basi utakuta mfano gari iko branded Harrier Lexus while Toyota hawana such a thing Au Alteza Lexus au Landcruiser Lexus.
Kama ni Landcruiser ni Lancruiser tu hutakuta Badge ya Lexus tena halafu pia unaweza gundua utofauti wa shows kama ukiziangalia kwa umakini na model code.
Waafrika bhana kwa ujinga, sasa Toyota for Australian market ndiyo nini? Au ndiyo ina ubora klk ya for African market? Sijui ni kwa nini sisi Waafrika ni vilaza namna hii mpaka tunakera yaani, duh!
Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?
Lexus ni sehemu ya Toyota. Na engine wanabuild wao pia. Nimejaribu kugugo hii kitu.Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?