Land cruiser ipi mjapani alitulia kati ya hizi

500a2b8aa8e58ca07c628dfe9cbbf56e.jpg

Lx 70 series tdi
Mamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninaoukubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu
lakini ipo siku mjomba samyz nitautia mkononi huu mchuma

[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Mamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninayoikubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu

vipasso tushavichoka yaaan

Haha hizo nyng za mashirika mtu binafsi unakuta ana mawe sana
 
ila naona design kali ilikuwa ya 80 series na 100 series wadau, ni vile sijapata hizo penenge ila lazma ntakamata moja hasa 100 series respect
 
Mamaaae moja kati ya mchuma CRUISER ninayoikubari mbaya tatizo uchumi shenzi zangu nitaishia kujua model tu
lakini ipo siku mjomba samyz nitautia mkononi huu mchuma
vipasso tushavichoka yaaan

[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

Naona mkuu halafu kitu Intercooler yani inatembea kama ina mafua fulani hivi.
 
LC 80 haichuji ina engine 1HZ na nyingine zimefungwa 1HDT cc 4200,fuel consumption nzuri... In short ndio gari ninayo ikubali hapo. Afu kwanini matoleo haya yanarandana na Lexus SUVs!?!?
Lexus ni Toyota's luxury brand mkuu, sometimes wanaweka badge tu Kwa ajili ya soko fulani. Mfano ni Lexus rx 300 kama sijakosea ambayo pia ni Toyota harrier, alteza /Lexus. Ikiitwa Lexus tu na bei inakua juu.
 
Izo 80series kpnd cha nyuma mtu akipiga mawe merereran lazma avute yake ila zko poa san .. bt nw wanapendelea lx machopanzi hardtop nomaa
hii ngoma ya 80 series ina pulling ya ajabu, ukute manual af dereva anajua kuipandishia gia utaipenda man
 
Off Road performance iko vizuri sana na watu wa Arusha wamezipa kick sana especially zile zinazotoka Japan for Australian Market.

Waafrika bhana kwa ujinga, sasa Toyota for Australian market ndiyo nini? Au ndiyo ina ubora klk ya for African market? Sijui ni kwa nini sisi Waafrika ni vilaza namna hii mpaka tunakera yaani, duh!
 
Kwani prado sio land cruiser? [emoji54]
Prado ni cruiser pia ila ambayo iliundwa iwe kama land cruiser nyepesi katika nyanja ya ukubwa wa body na wa engine yake ili kukabiliana na mahitaji ya watu waliotaka teknolojia ya land cruiser katika package ndogo, ni sawa kabisa na toleo la landrover la ile range rover evoque ili ije kusitiri wanaopenda range rover ila wenye budget ndogo.
Katika baadhi ya series za land cruiser ilitengenezwa version yake ya prado zikawa katika muendelezo kuanzia j70, j90, j120 na j150 ya sasa.
 
Lexus ni Toyota's luxury brand mkuu, sometimes wanaweka badge tu Kwa ajili ya soko fulani. Mfano ni Lexus rx 300 kama sijakosea ambayo pia ni Toyota harrier, alteza /Lexus. Ikiitwa Lexus tu na bei inakua juu.

Mkuu hizo brand zinapishana kabisa, Lexus ilinunuliwa na Toyota na hawakutaka kubadili jina ila waliacha iwe luxurious car.

Utofauti unakua kwenye Taa, Front Bumper hata ndani inapishana kidogo nk

Mfano:

Harrier 2016
2016-Toyota-Harrier-view--1024x568.jpg

Lexus Rx
2016-lexus-rx-350-0019-1500x1000.jpg

Alteza inaitwa AS na Lexus muundo huo inaitwa IS

Alteza AS

toyota_altezza_wagon_a1240893031b2651238_orig.jpg

Lexus IS
1999-2005_Lexus_IS_200_(GXE10R)_sedan_04.jpg

Na hizi ni tofauti kati ya Landcruiser na Lexus mkuu

cats.jpg

Wengo wanadhani ni Badge lakini zina utofauti hizi gari.

Ukitaka kujua kama Badge ni fake au imebandikwa tu kwa interest of Pimping basi utakuta mfano gari iko branded Harrier Lexus while Toyota hawana such a thing Au Alteza Lexus au Landcruiser Lexus.

Kama ni Landcruiser ni Lancruiser tu hutakuta Badge ya Lexus tena halafu pia unaweza gundua utofauti wa shows kama ukiziangalia kwa umakini na model code.
 
Mkuu hizo brand zinapishana kabisa, Lexus ilinunuliwa na Toyota na hawakutaka kubadili jina ila waliacha iwe luxurious car.

Utofauti unakua kwenye Taa, Front Bumper hata ndani inapishana kidogo nk

Mfano:

Harrier 2016
View attachment 349037

Lexus Rx
View attachment 349038

Alteza inaitwa AS na Lexus muundo huo inaitwa IS

Alteza AS

View attachment 349039

Lexus IS
View attachment 349040

Na hizi ni tofauti kati ya Landcruiser na Lexus mkuu

View attachment 349041

Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?
 
Waafrika bhana kwa ujinga, sasa Toyota for Australian market ndiyo nini? Au ndiyo ina ubora klk ya for African market? Sijui ni kwa nini sisi Waafrika ni vilaza namna hii mpaka tunakera yaani, duh!

Hujui kitu ww, ni bora uulize na usaidiwe.

Wajapan wanatengeneza magari na wanatofautisha markets kutokana na Ubora pamoja na Features Nyingine kama Full option nk.

US Market, Europen Market Toyota differs from Asian na Africa Market, Previous Australia walikua wanamtengenezea magari kwa kiwango cha Asia baadae serikali ikalalamika wakabadilishiwa na kutengenezewa kiwango sawa na European Markets specifically UK nk.

Ukiangalia hata RAV4 ya UK na Africa ni tofauti wenzetu kwanza Full option walianza kuziona kitambo na sie ndo tumeanza kupata hizo kitu kwa magari model za kisasa. Cjui hata kama unanielewa maana ya Full option

Tafuta Level yangu kwenye hii discusion not me
 
yoote hapo ilaMoote cruhilaiser ya 2016 ni kiboko.. kama upo kwenye ndege very luxurious.
 
En
Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?

Engine ni za Toyota kabisa na unatakiwa kufahamu kiwanda kilinunuliwa since 1998 platfoams zote za engine za Toyota.

Mfano

Lexus na Landcruiser za 100 series petrol engine zinatumia UZ series, Hii ni mfano kuna engines nyingi tu ila most ni UZ series
 
Asante kwa maoni yako mkuu, vpi kuhusu engine? Lexus wana tumia engine wanazo build wenyewe au ni Toyota built?
Lexus ni sehemu ya Toyota. Na engine wanabuild wao pia. Nimejaribu kugugo hii kitu.
 
Mkuu hizo brand zinapishana kabisa, Lexus ilinunuliwa na Toyota na hawakutaka kubadili jina ila waliacha iwe luxurious car.

Utofauti unakua kwenye Taa, Front Bumper hata ndani inapishana kidogo nk

Mfano:

Harrier 2016
View attachment 349037

Lexus Rx
View attachment 349038

Alteza inaitwa AS na Lexus muundo huo inaitwa IS

Alteza AS

View attachment 349039

Lexus IS
View attachment 349040

Na hizi ni tofauti kati ya Landcruiser na Lexus mkuu

View attachment 349041

Wengo wanadhani ni Badge lakini zina utofauti hizi gari.

Ukitaka kujua kama Badge ni fake au imebandikwa tu kwa interest of Pimping basi utakuta mfano gari iko branded Harrier Lexus while Toyota hawana such a thing Au Alteza Lexus au Landcruiser Lexus.

Kama ni Landcruiser ni Lancruiser tu hutakuta Badge ya Lexus tena halafu pia unaweza gundua utofauti wa shows kama ukiziangalia kwa umakini na model code.

Magari ya Lexus karibia yote yanatumia chasis ya Toyota.

Vinavyobadilika ni ule muonekano wa nje.
 
Back
Top Bottom