Hujui kitu ww, ni bora uulize na usaidiwe.
Wajapan wanatengeneza magari na wanatofautisha markets kutokana na Ubora pamoja na Features Nyingine kama Full option nk.
US Market, Europen Market Toyota differs from Asian na Africa Market, Previous Australia walikua wanamtengenezea magari kwa kiwango cha Asia baadae serikali ikalalamika wakabadilishiwa na kutengenezewa kiwango sawa na European Markets specifically UK nk.
Ukiangalia hata RAV4 ya UK na Africa ni tofauti wenzetu kwanza Full option walianza kuziona kitambo na sie ndo tumeanza kupata hizo kitu kwa magari model za kisasa. Cjui hata kama unanielewa maana ya Full option
Tafuta Level yangu kwenye hii discusion not me
Wewe ndiyo hauna akili na unataka tu kuleta ubishani kwa jambo hata usilolielewa! Kampuni ya Toyota kuita gari
for African market haimaanishi kwamba haina ubora ukilinganisha na Toyota za market nyingine kama EU au US, HAPANA!
Bali ni hivi nchi za Dunia ya kwanza kama EU, US, na baadhi ya ASIA kama Ujapani kwenyewe wana sheria ambazo magari yote yaliyoko br. lazima yazifwate hasa kwenye mazingira yaani CO2 emissions yaani sheria zao zinaruhusu magari yenye kutoa hewa ya ukaa kwa asilimia ndogo sana wkt nchi zinazoendelea hazina, hivyo basi Toyota land cruiser inayouzwa EU au US na Ujapani ni lazima, iwe na chombo kiitwacho
catalytic converter ambacho huchuja CO2 inayotoka kwenye engine ya gari na gari isiyokuwa na hicho chombo hairuhusiwi kuuzwa Ulaya, US au Ujapani, sasa hivi vyote huongeza gharama ya uzalishaji na ndiyo maana hutengeneza Toyota na kuiita
for african market au EU market na US market maana yake ni kwamba haina kwa mfano hiyo
catalytic converter ambayo kwa Africa siyo muhimu kwa sababu mbali mbali lkn haimaanishi kwamba siyo bora klk ya EU!
Vile vile toyota inayouzwa US inakuwa tofaurti na Toyota ya EU au Ujapani kwenyewe na sababbu ni hiyo hiyo sheria za mazingira ziko tofauti, kiasi ambacho US wanarusuhu gari kuemitt CO2 ni tofauti na kiasi ambacho EU wanaruhusu au Ujapani lkn haimanishi kwamba Toyota ya Ujapani ni bora klk ya EU au US, HAPANA!
Hiyo ndiyo sababu, hivyo siku nyingine usiwe mjinga na kutaka kwenda kulipa fedha nyingi kununua Toyota Land cruiser kwa kuwa imeandikwa for EU market na ukafikiri kwamba ni bora utakuwa unapoteza fedha bure kwani tofauti ni hiyo tu na haiathiri ubora wa gari kwa vyovyote vile kwanza kama unaishi Afrika na unataka kununua Toyota kwa matumizi ya Afrika ni bora ununue Toyota for African market kwa sababu kuna sababu kwa nini zimeitwa hivyo!