hizi UZ wanashare na zile za coaster ama? huwa napenda sana muungurumo wa engine za coaster una sound the same wa cruiser 100 seriesEn
Engine ni za Toyota kabisa na unatakiwa kufahamu kiwanda kilinunuliwa since 1998 platfoams zote za engine za Toyota.
Mfano
Lexus na Landcruiser za 100 series petrol engine zinatumia UZ series, Hii ni mfano kuna engines nyingi tu ila most ni UZ series
Hujui kitu ww, ni bora uulize na usaidiwe.
Wajapan wanatengeneza magari na wanatofautisha markets kutokana na Ubora pamoja na Features Nyingine kama Full option nk.
US Market, Europen Market Toyota differs from Asian na Africa Market, Previous Australia walikua wanamtengenezea magari kwa kiwango cha Asia baadae serikali ikalalamika wakabadilishiwa na kutengenezewa kiwango sawa na European Markets specifically UK nk.
Ukiangalia hata RAV4 ya UK na Africa ni tofauti wenzetu kwanza Full option walianza kuziona kitambo na sie ndo tumeanza kupata hizo kitu kwa magari model za kisasa. Cjui hata kama unanielewa maana ya Full option
Tafuta Level yangu kwenye hii discusion not me
Prado ni land cruiser.Land cruiser ni land cruiser tuu..Hazi chuji..Ni kama Prado..
We ni kilaza tu hujui ukiandikacho tulia kushoto asee kwenye suala la market in kila kitu from electronics, foods,pia vehiclesWaafrika bhana kwa ujinga, sasa Toyota for Australian market ndiyo nini? Au ndiyo ina ubora klk ya for African market? Sijui ni kwa nini sisi Waafrika ni vilaza namna hii mpaka tunakera yaani, duh!
We ni kilaza tu hujui ukiandikacho tulia kushoto asee kwenye suala la market in kila kitu from electronics, foods,pia vehicles
Hoja hako ni dhaifu kabisa. Kifaa kimoja tu hakiwezi kutofautisha model ya nchi moja na ingine. Kuna features nyingi zinatofautisha models za magari za location mbali mbali. Jamaa alikupa hint ya full options hapo juu. Kasome nini maana yake.Wewe ndiyo hauna akili na unataka tu kuleta ubishani kwa jambo hata usilolielewa! Kampuni ya Toyota kuita gari for African market haimaanishi kwamba haina ubora ukilinganisha na Toyota za market nyingine kama EU au US, HAPANA!
Bali ni hivi nchi za Dunia ya kwanza kama EU, US, na baadhi ya ASIA kama Ujapani kwenyewe wana sheria ambazo magari yote yaliyoko br. lazima yazifwate hasa kwenye mazingira yaani CO2 emissions yaani sheria zao zinaruhusu magari yenye kutoa hewa ya ukaa kwa asilimia ndogo sana wkt nchi zinazoendelea hazina, hivyo basi Toyota land cruiser inayouzwa EU au US na Ujapani ni lazima, iwe na chombo kiitwacho catalytic converter ambacho huchuja CO2 inayotoka kwenye engine ya gari na gari isiyokuwa na hicho chombo hairuhusiwi kuuzwa Ulaya, US au Ujapani, sasa hivi vyote huongeza gharama ya uzalishaji na ndiyo maana hutengeneza Toyota na kuiita for african market au EU market na US market maana yake ni kwamba haina kwa mfano hiyo catalytic converter ambayo kwa Africa siyo muhimu kwa sababu mbali mbali lkn haimaanishi kwamba siyo bora klk ya EU!
Vile vile toyota inayouzwa US inakuwa tofaurti na Toyota ya EU au Ujapani kwenyewe na sababbu ni hiyo hiyo sheria za mazingira ziko tofauti, kiasi ambacho US wanarusuhu gari kuemitt CO2 ni tofauti na kiasi ambacho EU wanaruhusu au Ujapani lkn haimanishi kwamba Toyota ya Ujapani ni bora klk ya EU au US, HAPANA!
Hiyo ndiyo sababu, hivyo siku nyingine usiwe mjinga na kutaka kwenda kulipa fedha nyingi kununua Toyota Land cruiser kwa kuwa imeandikwa for EU market na ukafikiri kwamba ni bora utakuwa unapoteza fedha bure kwani tofauti ni hiyo tu na haiathiri ubora wa gari kwa vyovyote vile kwanza kama unaishi Afrika na unataka kununua Toyota kwa matumizi ya Afrika ni bora ununue Toyota for African market kwa sababu kuna sababu kwa nini zimeitwa hivyo!
Hoja hako ni dhaifu kabisa. Kifaa kimoja tu hakiwezi kutofautisha model ya nchi moja na ingine. Kuna features nyingi zinatofautisha models za magari za location mbali mbali. Jamaa alikupa hint ya full options hapo juu. Kasome nini maana yake.
Si unaona sasa unavyojichanganya. Mwanzo ulisema catalytic converter pekee sasa hivi umeongeza navigation system. Huoni kama unasupport nlichokwambia halafu hujitambui kama unasupport?Wewe ndiyo unahoja dhaifu, nimesema sababu ya Toyota au Kampuni yoyote ile ya Magari kutengeneza gari na kuiita for African market au EU market haimaanishi kwamba ile gari ni bora klk nyingine HAPANA, bali ni kwamba imetengenezwa kulingana na mazingira ya eneo husika nitakupa mfano, Toyota au gari inayotengezwa for African market haihitaji kuwa na navigation system kwa maana TZ huwezi kutumia navigation system kwa sababu hata mitaa hamna lkn gari ya EU, Ujapani au Marekani ni lazima iwe na Navigation system lkn haimaanishi kwamba hizi gari (African/EU) zinatofautiana ubora, hivyo wewe kama unaishi TZ ukaenda kununua gari for EU market na yenye Navigation system utakuwa ni mjinga kwa maana bei inaongezeka unalipia hiyo Navigation system ambayo huhitaji kwa TZ hiyo ndiyo sababu!
Hivyo nakushauri kama unataka kununua gari angalia eneo ulipo kama uko TZ nunua Toyota for African market hata bei itakuwa chini klk ya EU /US market kwa sababu ya vitu extra ambavyo wanaviongeza kulingana na mazingira husika!
Kuna sababu kwa nini wanasema hivyo!
Si unaona sasa unavyojichanganya. Mwanzo ulisema catalytic converter pekee sasa hivi umeongeza navigation system. Huoni kama unasupport nlichokwambia halafu hujitambui kama unasupport?
lexus ni toyota kwa ajili ya bara la america..LC 80 haichuji ina engine 1HZ na nyingine zimefungwa 1HDT cc 4200,fuel consumption nzuri... In short ndio gari ninayo ikubali hapo. Afu kwanini matoleo haya yanarandana na Lexus SUVs!?!?
hizi UZ wanashare na zile za coaster ama? huwa napenda sana muungurumo wa engine za coaster una sound the same wa cruiser 100 series
Si unaona sasa unavyojichanganya. Mwanzo ulisema catalytic converter pekee sasa hivi umeongeza navigation system. Huoni kama unasupport nlichokwambia halafu hujitambui kama unasupport?