Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
There u are wewe kijana uliyekaririshwa.
The biggest reason for tropical version ni cooling system ambayo inakua mostly affected by temperature kwenye tropical regions. Na kitu kinachofanyika hapo ni kuweka thermostat au carlostat ambayo ni compatible na mazingira hayo ya climatepamoja na vitu vingine mkuu.
Sasa tuambie kama climate nayo inasababisha na change in features kama Full option,Cruise control, width na mengineyo., Sababu RAV 4 made for US ya same year lets 2005 and same model ya Africa inapishana upana halafu bado unakuja na hoja zako za kukaririshwa hapa za Tropical cjui nn umeambiwa USA hakuna majangwa?
Narudia tena acha chai we jamaa.
Elewa kabisa Toyota market ya US,EU,Africa nk zinapishana kwa vigezo vya quality,features na mengineyo.
Je do u know magari meant for Eu na US wameanza kupewa feature ya kutumia Diagnosis tools mapema? Je wajua ni kwann?
In short kwanza soko la Africa hawalitegemei kabisa na wala hawawezi kuja juta kupoteza hili soko sababu wanunuaji wa magari mapya huku ni wachache sana.
Nakushauri tena kama una pesa nunua gari meant for Eu utafurahi.
Narudia tena unaandika mambo meengi lkn unarudia kile kile ambacho nimekwisha kueleza wewe sijui form ulipata daraja gani kwa maana duh!
Nimekwambia kila kampuni ya gari inatengeneza gari kulingana na mazingira eneo husika ambako wanataka kuuza hilo gari kwa mfano SUV nyingi kwa soko la US ni seven seater na EU ni 5 seater sasa huwezi kusema kwamba SUV zinazouzwa US ni bora klk za EU kwa sababu za US ni seven seater?
Hilo linatokana tu na mahitaji ya US ni tofauti na mahitaji ya EU wateja wa US wanapendelea magari makubwa na yenye nafasi, au mfano mwingine Toyota landcruiser inayouzwa Dubai, Saudia, Qatar na hilo eneo lote ni tofauti na Land Crusier inayouzwa EU au Alaska USA hii yas Middle east huwa ina powerful airconditioning lakini ya EU au Alaska haihitaji powerful airconditioning kwa sababu mazingira ni tofauti hii ya Saudia inatakiwa ifanye kwenye mazingira ya nyuzi joto mpaka 45 wakati ya Alaska inatakiwa ifanye kazi mpaka nyuzi joto -20, hivyo hauoni kwamba hizi ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti?
Hivyo huwezi kusema kwamba moja ni bora klk nyingine bali ni tofauti kulingana na mahitaji, ndicho nilichomaanisha!
Hivyo Toyota landcrusser tropical version siyo kwamba ina ubora pungufu kulinganisha na Toyota inayouzwa EU/US ni kwamba kuna vitu ambavyo moja inavyo na nyingine haina kulingana na mazingira, sijuii ni kipi kigumu kuelewa hapo?