Land cruiser ipi mjapani alitulia kati ya hizi

Land cruiser ipi mjapani alitulia kati ya hizi

There u are wewe kijana uliyekaririshwa.

The biggest reason for tropical version ni cooling system ambayo inakua mostly affected by temperature kwenye tropical regions. Na kitu kinachofanyika hapo ni kuweka thermostat au carlostat ambayo ni compatible na mazingira hayo ya climatepamoja na vitu vingine mkuu.

Sasa tuambie kama climate nayo inasababisha na change in features kama Full option,Cruise control, width na mengineyo., Sababu RAV 4 made for US ya same year lets 2005 and same model ya Africa inapishana upana halafu bado unakuja na hoja zako za kukaririshwa hapa za Tropical cjui nn umeambiwa USA hakuna majangwa?

Narudia tena acha chai we jamaa.

Elewa kabisa Toyota market ya US,EU,Africa nk zinapishana kwa vigezo vya quality,features na mengineyo.

Je do u know magari meant for Eu na US wameanza kupewa feature ya kutumia Diagnosis tools mapema? Je wajua ni kwann?

In short kwanza soko la Africa hawalitegemei kabisa na wala hawawezi kuja juta kupoteza hili soko sababu wanunuaji wa magari mapya huku ni wachache sana.

Nakushauri tena kama una pesa nunua gari meant for Eu utafurahi.


Narudia tena unaandika mambo meengi lkn unarudia kile kile ambacho nimekwisha kueleza wewe sijui form ulipata daraja gani kwa maana duh!
Nimekwambia kila kampuni ya gari inatengeneza gari kulingana na mazingira eneo husika ambako wanataka kuuza hilo gari kwa mfano SUV nyingi kwa soko la US ni seven seater na EU ni 5 seater sasa huwezi kusema kwamba SUV zinazouzwa US ni bora klk za EU kwa sababu za US ni seven seater?

Hilo linatokana tu na mahitaji ya US ni tofauti na mahitaji ya EU wateja wa US wanapendelea magari makubwa na yenye nafasi, au mfano mwingine Toyota landcruiser inayouzwa Dubai, Saudia, Qatar na hilo eneo lote ni tofauti na Land Crusier inayouzwa EU au Alaska USA hii yas Middle east huwa ina powerful airconditioning lakini ya EU au Alaska haihitaji powerful airconditioning kwa sababu mazingira ni tofauti hii ya Saudia inatakiwa ifanye kwenye mazingira ya nyuzi joto mpaka 45 wakati ya Alaska inatakiwa ifanye kazi mpaka nyuzi joto -20, hivyo hauoni kwamba hizi ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti?

Hivyo huwezi kusema kwamba moja ni bora klk nyingine bali ni tofauti kulingana na mahitaji, ndicho nilichomaanisha!

Hivyo Toyota landcrusser tropical version siyo kwamba ina ubora pungufu kulinganisha na Toyota inayouzwa EU/US ni kwamba kuna vitu ambavyo moja inavyo na nyingine haina kulingana na mazingira, sijuii ni kipi kigumu kuelewa hapo?
 
Gari katengeneza mkoloni, sio hayo. BMW X5, x6, Mercedes Benz ML Formatic au G class, Audio Q7, kidogo na mwingereza Range Rover Sport, Freelander 2 na Discovery 4
 
Narudia tena unaandika mambo meengi lkn unarudia kile kile ambacho nimekwisha kueleza wewe sijui form ulipata daraja gani kwa maana duh!
Nimekwambia kila kampuni ya gari inatengeneza gari kulingana na mazingira eneo husika ambako wanataka kuuza hilo gari kwa mfano SUV nyingi kwa soko la US ni seven seater na EU ni 5 seater sasa huwezi kusema kwamba SUV zinazouzwa US ni bora klk za EU kwa sababu za US ni seven seater?..

Huna hoja wewe, Za EU na US zimeongezewa features nyingi sana naona ur just bluffing

Unanipa njaa tu wewe.
 
Hoja yako ya mazingira ni very weak na ina affect ECUsystems au Engine cooling systems na sio muonekano wa gari na urembo na manjonjo ya ndani ya gari mkuu.

Kizuri garama Barbarosa
 
Gari katengeneza mkoloni, sio hayo. BMW X5, x6, Mercedes Benz ML Formatic au G class, Audio Q7, kidogo na mwingereza Range Rover Sport, Freelander 2 na Discovery 4
Mkuu ina maana hizo siyo ni powertiller ama?
 
Engine ni za Toyota kabisa na unatakiwa kufahamu kiwanda kilinunuliwa since 1998 platfoams zote za engine za Toyota.

Mfano

Lexus na Landcruiser za 100 series petrol engine zinatumia UZ series, Hii ni mfano kuna engines nyingi tu ila most ni UZ series
Mkuu Bio inabidi nikiwa nataka kununua ndinga nikushirikishe kwa msaada zaidi, hope utanisaidia.
 
Series 100 ndo mpango mzima mzee kitu cha 4.2 pale kati plus turbo charger.

Very smooth car alizinunua sana mh mkapa kwa makatibu wakuu some of them zilikuwa ikulu yan naz admire sana hz makitu natafuta moja ya mnada nijitunuku.

In Shaa Allah
 
hcho kiwanda kilichonunuliwa 1998 ni kipi? na kampun gan ilinunua
 
hcho kiwanda kilichonunuliwa 1998 ni kipi? na kampun gan ilinunua

Kijana hiyo transformation ya market kwa kubrand lexus focusing soko nje ya USA zaidi na iliambatana na kutoa SUVs.

Kama ulisoma toka Mwanzo hilo ni kosa lakiuandishi na hicho kitu kilifanyika 1998

Kwa lugha nyingine pia Toyota ndo walikua Founder na bado walibaki kuwa owner huo mwaka 1998

Una kingine tena we jamaa?
 
sema land cruiser 200 zinaboa hazina ile feel ya off road 4x4 halafu engine hata haina muito mzuri kama za 100 ama 80 series, pia mkunjo wa body umekaa kinyanya sana, at least hii facelift ya 2016 ipo na mvuto zaidi

Usichanganye za diesel na petrol,lc200 za d4d bado zina ule mlio wa kibabe
 
Usichanganye za diesel na petrol,lc200 za d4d bado zina ule mlio wa kibabe

Aisee mi bado sijaona 200 inayoita kama ile 80 au 100. Labda kama una clip unioneshe ni prove, 200 zote mafua tu na hapo ndipo mjapani alipozingua ukiachilia mkunjo wa body, the 200 looks so baggy!
 
Mkuu hizo brand zinapishana kabisa, Lexus ilinunuliwa na Toyota na hawakutaka kubadili jina ila waliacha iwe luxurious car.

Utofauti unakua kwenye Taa, Front Bumper hata ndani inapishana kidogo nk

Mfano:

Harrier 2016
View attachment 349037

Lexus Rx
View attachment 349038

Alteza inaitwa AS na Lexus muundo huo inaitwa IS

Alteza AS

View attachment 349039

Lexus IS
View attachment 349040


Na hizi ni tofauti kati ya Landcruiser na Lexus mkuu
View attachment 349041


Wengo wanadhani ni Badge lakini zina utofauti hizi gari.

Ukitaka kujua kama Badge ni fake au imebandikwa tu kwa interest of Pimping basi utakuta mfano gari iko branded Harrier Lexus while Toyota hawana such a thing Au Alteza Lexus au Landcruiser Lexus.

Kama ni Landcruiser ni Lancruiser tu hutakuta Badge ya Lexus tena halafu pia unaweza gundua utofauti wa shows kama ukiziangalia kwa umakini na model code.
Mkuu
Ninavyofahamu Lexus ni luxury branch ya ,Toyota singapore! Kwa maana Lexus huwa ana access ya basic structures , mf chassis ,engines , Body , kutoka Toyota, halafu ndo anaboresha kupata luxury taste ya Lexus . Ndio sababu kila Lexus unayoijua hutanguliwa na basic model kutoka Toyota,
 
Mkuu
Ninavyofahamu Lexus ni luxury branch ya ,Toyota singapore! Kwa maana Lexus huwa ana access ya basic structures , mf chassis ,engines , Body , kutoka Toyota, halafu ndo anaboresha kupata luxury taste ya Lexus . Ndio sababu kila Lexus unayoijua hutanguliwa na basic model kutoka Toyota,
Soma post zote kuna marekebisho
 
Gari ni 80series yani upate 1HZ au 1HDT ila I prefer 1HZ cause consumption ya mafuta ni ndogo na maintanance ni rahisi, Hizi Gari zinapiga shimo balaa halafu speed yake ni ya kawaida wala haiitaji mbwembwe.

Kwenye tambalale inatembea 120-130km/hr ikipata down inafika 160-180km/hr hii ni kwa 1HZ na 1HDT inafika 140-150km/hr-kwenye Tambalale na kwenye down unamaliza plus whisle ya ukweli toka kwenye Turbo.

So anayependa mbio sana na acceleration anaweza chagua 1HDT engine na ambaye hana comp na speed sana 1HZ is the best.

Hizo model sijaona ya kuifikia na ndio the best Landcruiser SUV of all time.
 
Mkonga nje ni noma. Hata vitani zinatumika sana...

Yeah mkuu bila shaka unazungumzia 78 series hardtop, siku hizi ndio gari za polisi na ambulance kwa baadhi ya hospitali. Nadhaani maafande wameukubali mziki wake defender sizioni siku hizi.
 
Back
Top Bottom