Land Cruiser Prado 2023 (J250): Madereva wa Serikali watavimba nayo Sana

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani.


Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka kwenye electric power steering.

Engine options kuna 2.4L 2.7L 2.8L na Turbo charged, zote Petrol au Diesel.


Ndani pamekaa kisasa sana, Kukimbizana na technology ya magari mengine.

Hii ni generation ya 5, na ni takribani miaka 14 tokea Generation ya 4 itolewe.

Tukutane GPSA.
 
ALAFU USIUKUTE WE NI MWANA CCM DAMU .WAKATI KIJIJINI KWENU HATA AMBULANCE HAKUNA
 
South Africa watazindua na kuweka rasmi sokoni mwezi huu wa 6. Shipment za mwishoni mwa mwezi huu utaiona pale Toyota Tanzania ila kama za GPSA wao wanachukua za Japan kupitia Gibraltar Stock Holdings zinaweza kuja mapema sana.
Tatizo za Gibraltar zinanyimwaga options sana. Kuna bombardier zilikuja job yaani hazina utamu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…