Land Cruiser Prado 2023 (J250): Madereva wa Serikali watavimba nayo Sana

Land Cruiser Prado 2023 (J250): Madereva wa Serikali watavimba nayo Sana

2.4 petrol- 282 hp
2.7 petrol 160 hp
2.8 diesel 204 hp
2.8 mild hybrid diesel 204 hp
Hybrid petrol 330 hp
2024 engine classification-LAND CRUISER PRADO J250.
Mbona ni makubwa jinga tu! Gari kubwa nguvu kidogo!
 
Ndio iko hivyo. Tena ya 2.4 petrol ni moto zaidi kwa sababu ni turbo charged. So mtu akiniuliza achukue ipi ningeshauri ya 2.4 petrol. Haitakuwa na complications kama za diesel ila utapata power zaidi
Hio ya 2.7 160hp Ni peace of shi.t aisee
 
Back
Top Bottom