2.8L Diesel hapo ndio STN zitajazana. Maana serikali na Petrol wamepishana.2.4 petrol- 282 hp
2.7 petrol 160 hp
2.8 diesel 204 hp
2.8 mild hybrid diesel 204 hp
Hybrid petrol 330 hp
2024 engine classification-LAND CRUISER PRADO J250.
Wanataka watendaji wafike site kwa wakati, mbwembwe mtazikuta kwenye private carsGari kavu kavu tuuu..
Mbona ni makubwa jinga tu! Gari kubwa nguvu kidogo!2.4 petrol- 282 hp
2.7 petrol 160 hp
2.8 diesel 204 hp
2.8 mild hybrid diesel 204 hp
Hybrid petrol 330 hp
2024 engine classification-LAND CRUISER PRADO J250.
Hakika! Maana kwa specs hizo, hakuna maajabu. Watakachokushinda ni kuendesha na kuovertake kwa hatari tu!Nawasubiri niwanyooshe kama ninavyowanyoosha na j150 na bombardier zao.
2.7 petrol 160 hp?How?2.4 petrol- 282 hp
2.7 petrol 160 hp
2.8 diesel 204 hp
2.8 mild hybrid diesel 204 hp
Hybrid petrol 330 hp
2024 engine classification-LAND CRUISER PRADO J250.
Maboss wanaanza kushindana kununuaHizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani.
Ndio iko hivyo. Tena ya 2.4 petrol ni moto zaidi kwa sababu ni turbo charged. So mtu akiniuliza achukue ipi ningeshauri ya 2.4 petrol. Haitakuwa na complications kama za diesel ila utapata power zaidi2.7 petrol 160 hp?How?
Hio ya 2.7 160hp Ni peace of shi.t aiseeNdio iko hivyo. Tena ya 2.4 petrol ni moto zaidi kwa sababu ni turbo charged. So mtu akiniuliza achukue ipi ningeshauri ya 2.4 petrol. Haitakuwa na complications kama za diesel ila utapata power zaidi
Haina mambo mengi (no turbo) so its super reliable. Tatizo ni power. Hilo halijaanza kwenye 250, hata 120 na 150, hiyo engine haina perfomance nzuri na haina consumption nzuri sana piaHio ya 2.7 160hp Ni peace of shi.t aisee