Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Mkuu kila mtu anapambana na hali yake tu bila kujali wakati..huu ni uchumi wa kibepari na soko huria ...wakati nyumba A wanalalia uji (si kwa kupenda) nyumba B wanakula mapochopocho na kusaza and no one care..naona nchi iko kwenye ucumi wa kati sasa ... miaka minne iliyopita mlikua mnajadili namana ya kununua vitz na rav4
Mfano mimi sijawahi kusukuma chini ya cc 2000 tangu nifike umri wa kumiliki chombo...pia kuna watu kwa sababu za mapenzi binafsi wao ni wazee wa vi "baby walkers"...acha wale walio wengi ambao kauli zao ni "linakunywa mafuta hilo[emoji23][emoji23].. sasa sijui walitaka gari inywe maji!