Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa
hivyo vitu vilikuwa ni lazima vijadiliwe ili kumpa ujuzi mleta mada
unaposema landcruiser v8 hapo hujataja gari specific zipo model za landcruiser kama tatu zote ni v8 engines na bei ni tofauti kabisa hata muundo ni tofauti
sasa utataja vipi bei hapo bila kujua ni gari gani anayoulizia
kwa maelezo yaliyofanyika hapo juu mleta mada atakuwa amepata uelewa kuwa either gari anayoitaka ni 76 series with v8 engine au ni 200series v8
kwa mfano hapo juu kuna mtu kapost picha ya landcruiser v8 model of 2014 ila ni 76 series je mleta mada anataka kujua bei ya hyo?
so kwa hayo maelezo yatakuwa hayakusaidia ww ila mleta mada mwenyewe alishashukuru kwa elimu aliyopata kupitia hayo maelezo ambayo ww umeyashangaa