Land cruiser v8

Land cruiser v8

JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa

hivyo vitu vilikuwa ni lazima vijadiliwe ili kumpa ujuzi mleta mada

unaposema landcruiser v8 hapo hujataja gari specific zipo model za landcruiser kama tatu zote ni v8 engines na bei ni tofauti kabisa hata muundo ni tofauti

sasa utataja vipi bei hapo bila kujua ni gari gani anayoulizia

kwa maelezo yaliyofanyika hapo juu mleta mada atakuwa amepata uelewa kuwa either gari anayoitaka ni 76 series with v8 engine au ni 200series v8

kwa mfano hapo juu kuna mtu kapost picha ya landcruiser v8 model of 2014 ila ni 76 series je mleta mada anataka kujua bei ya hyo?

so kwa hayo maelezo yatakuwa hayakusaidia ww ila mleta mada mwenyewe alishashukuru kwa elimu aliyopata kupitia hayo maelezo ambayo ww umeyashangaa
 
hivyo vitu vilikuwa ni lazima vijadiliwe i kumpa ujuzi mleta mada

unaposema landcruiser v8 hapo hujataja gari specific zipo model za landcruiser kama tatu zote ni v8 engines na bei ni tofauti kabisa hata muundo ni tofauti sasa utataja vipi bei hapo bila kujua ni gari gani anayoulizia

kwa maelezo yaliyofanyika hapo juu mleta mada atakuwa amepara uelewa kuwa either gari anayoitaka ni 76 series with v8 engine au ni 200series v8

kwa mfano hapo juu kuna mtu kapost picha ya landcruiser v8 model of 2014 ila ni 76 series je mleta mada anataka kujua bei ya hyo? so kwa hayo maelezo yatakuwa hayakusaidia ww ila mleta mada mwenyewe alishashukuru kwa elimu aliyopewa na akasema yeye alikuwa anaulizia bei ya 200series
Umeeleza vyema lakini bado tena umeshindwa kutaja bei...!
 
Nashukuru mkuu. Kwa udadavuzi mzuri. Nataka 200series.zinatembeaje bei? Naona itanifaa sisi wa milimani na mabonde kwinama.

kwa model ya 200series ya 2014 diesel engine bei yake inarange kwanzia USD 38000 hadi 48000 ukija bandarin kwa import tax ipo fixed ni milion 70 so hapo utapiga total roughly uwe na kama 160 milion ili uendeshe 200 series ya 2014
 
JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa
Soma mada vizur ww. Bei imeulizwa ni kweli lakini kuna ishu ya risk na advantage zake pia alitaka kujua

Sasa V8 model ipi? series ipi? Ndio kitu wana JF wanajadili.....!

Ukiona bei haijatajwa manake madalali hawajapita bado.

Sawa chief
 
nilijisahau mkuu

kwa model ya 200series ya 2014 diesel engine bei yake inarange kwanzia USD 38000 hadi 48000 ukija bandarin kwa import tax ipo fixed ni milion 70 so hapo utapiga total roughly uwe na kama 160 milion ili uendeshe 200 series ya 2014
Bongo ni ungese jamani yani bei ya gari ni sawa na kodi hizi kodi za Tanzania zinapatikana Tanzania peke e
 
Bongo ni ungese jamani yani bei ya gari ni sawa na kodi hizi kodi za Tanzania zinapatikana Tanzania peke e
😂😂😂😂😂😂 sijui utaratibu wa nchi nyingine ukoje

ila kwa hivi vigari vidogo IST unaileta hadi bandarini kwa USD 2100 alafu kodi milion 7 😂😂😂 jumla unakiendesha kwa milion 11 ila kule umekinunua milion 4.3
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui utaratibu wa nchi nyingine ukoje

ila kwa hivi vigari vidogo IST unaileta hadi bandarini kwa USD 2100 alafu kodi milion 7 [emoji23][emoji23][emoji23] jumla unakiendesha kwa milion 11 ila kule umekinunua milion 4.3
IPO bongo tuu germany kuna SUV from france ndo cheapest kabisa 15k 0km na hapo kampuni inakupa on credit kama euro €8000
 
Soma mada vizur ww. Bei imeulizwa ni kweli lakini kuna ishu ya risk na advantage zake pia alitaka kujua

Sasa V8 model ipi? series ipi? Ndio kitu wana JF wanajadili.....!

Ukiona bei haijatajwa manake madalali hawajapita bado.

Sawa chief
Sawa
 
nilijisahau mkuu

kwa model ya 200series ya 2014 diesel engine bei yake inarange kwanzia USD 38000 hadi 48000 ukija bandarin kwa import tax ipo fixed ni milion 70 so hapo utapiga total roughly uwe na kama 160 milion ili uendeshe 200 series ya 2014
Asante ndugu kwa jibu zuri..!!
 
na ndio maana nikaweka maelezo hayo ...sababu ukisema landcruiser v8 unakuwa hueleweki unaongelea landcruiser ipi maana zipo models nyingi zenye v8 engines

soma vizur maelezo yangu mwisho nikasema kutokana na michango ya wadau inaonekana wanaiongelea 200series so ingekuwa vyema kama watu watumie model names badala ya engines maana inaweza ikachanganya wengine
Nashukuru mkuu. Kwa udadavuzi mzuri. Nataka 200series.zinatembeaje bei? Naona itanifaa sisi wa milimani na mabonde kwinama.
 
mzee wangu ana V8 ya diesel litre 1 inaenda adi km 10 had 12 inategemea na uendeshaji wako.. atafute V8 engine diesel
Ila ajiandae pia maintainance ya diesel engine ni expensive kulinganisha na petrol engine.
 
Ila ajiandae pia maintainance ya diesel engine ni expensive kulinganisha na petrol engine.
Uko sawa kabsa.. but uzur wa aya magari.. ukifanya service unasahau.. sio rahis kuharbka harbika.. especially ukifanya service kwa watu wa Toyota wenyew..!! unaeza kaa ata miaka miwil ujaenda garage..!!
 
Back
Top Bottom