Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Mkuu kila mtu anapambana na hali yake tu bila kujali wakati..huu ni uchumi wa kibepari na soko huria ...wakati nyumba A wanalalia uji (si kwa kupenda) nyumba B wanakula mapochopocho na kusaza and no one care..naona nchi iko kwenye ucumi wa kati sasa ... miaka minne iliyopita mlikua mnajadili namana ya kununua vitz na rav4
Haya mawazo ya kibepari nayapenda..kudos..Una mawazo ya kimaskini sana,Sasa kuwa na V8 ni issue??? Magari yameshuka sana Bei,ungesema nyumba labda,Sasa na gari Ni kitu Cha kushangaa kweli
Affordability is one factor but understanding specs and management ya kitu ni issue ingine..wanagapi walinunua gari kwasababu anayo hela ila hana details hadi aulize kwa washkaji how to manage/fuel services etc ?Mtu ukishafikia uwezo wa kumiliki gari la aina hii,
huwezi kuwa na mawazo kama haya ya kuulizia advantages zake na risk wala kuulizia mafuta
You have facts big man.Affordability is one factor but understanding specs and management ya kitu ni issue ingine..wanagapi walinunua gari kwasababu anayo hela ila hana details hadi aulize kwa washkaji how to manage/fuel services etc ?
Uwezo wa kifedha vs undestanding of technical specs & best mgt practices.....
nimekuqoute sehemu niliyoandika bei umeiona auNashukuru mkuu. Kwa udadavuzi mzuri. Nataka 200series.zinatembeaje bei? Naona itanifaa sisi wa milimani na mabonde kwinama.
Ikitegemea sana hali utakayoikuta kwa wakati huoMnapoongela V8 iliyosimama Yard andaeni (195-230) Mil
Mimi sina gari ,pikipiki wala baiskeliJamiiforums kila mtu ana Land Cruiser.