Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Bureaucracy ndio nyingi bongo. Mchakato tu wa mtu kufungua biashara unajikuta unamaliza nusu mtaji.Kusema la haki sio kuwa nabeza lakini ukiangalia youtube kwa upande wetu
Utaona treni ya umeme ambayo sijui ikoje mpaka sasa
Na vichekesho vya kijinga wakiwemo kina kina Nanga mpaka wakichokonoa pua na kutoa tongo wakiwa live na kina mweusi basi
Angalia wenzetu hata UG na Kenya kuna mengi sana vijana wanafanya kama mifugo, kilimo na hata makampuni
Fursa kwa wabongo hawazioni bali kulalamika tu
Ukiongelea fursa wanakuambia mtaji baba
Ila bado sana kwa maendeleo bongo
Tuko nyuma mno kwa ukiritimba na kubaniana fursa pia kunachangia
Bureaucracy ndio nyingi bongo. Mchakato tu wa mtu kufungua biashara unajikuta unamaliza nusu mtaji.
Inasikitisha sana halafu wahusika wanaotengeneza hizo complications ndio wanawaambia vijana jiajirini huku wao ni waajiriwa weziIli upate kibali cha kufungua biashara au manufacturing unalazimika upitie taasisi kama zote
Wakati hizo taasisi zoote zingeweza kufanya kazi wakiwa taasisi moja kuepusha hiyo bureucracy isiyo na maana yoyote
Ni upigaji tu
Kitu kimoja nawakubali wachina wanapiga kazi kinouma na hawakati tamaa kirahisi , nenda kawaone wachina kwenye biashara mbalimbali US utanipa jibu lako
Inasikitisha sana, unamwambia ajiajiri halafu unamwekea bureucracy kama sio upuuzi ni nini na bado hata mtaji haumpiInasikitisha sana halafu wahusika wanaotengeneza hizo complications ndio wanawaambia vijana jiajirini huku wao ni waajiriwa wezi
Huo wa kuwasha gropu tu bado tunanesa nesa ndio tuweze wa kucharg gari??............kwa maprofesa wako hawa kama kina mruma..............anakwenda kwenye kesi ya inchi anakwambia ajajiandaa why ulisafiri kutoka afrika mpaka ulaya??ajabuWenzetu wakiona kitu kipya basi wana changamkia fursa
Ulaya tayari kuna mafundi wa magari ya umeme na pia kuna makampuni ukiishiwa chaji kama hakuna sehemu ya kuchaji unawaita wanakuja fasta
Sisi bado sana View attachment 3310223
Mchina apewe dunia yake👿Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system Torque: App. 406 Nm Transmission: 8 speed automatic D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka hukoNi nini kitakachoirudisha huko?
Kuna yale yanaitwa Sullivan wanayo sana polisi duh body zake zinachoka utafikiri ni za fibre. Dunia inapokwenda mchina atazidi sana pata soko maana nchi nyingi zitafilisika na zitajikuta zinalazimika nunua vya mchina sababu ya bei ndogo ,hii ndoa ya Karimjee Jivanjee Toyota na serikali very soon inavunjika na kutakuwa na ndoa kati muuzaji wa magari ya kichina na serikali maana serikali itabidi ibane matumizi na hivyo talazimika kununua magari ya mchina. Kama ambavyo serikali miradi ya ujenzi inalazimika kumpa mchina na magari takuwa hivyohivyo na walivyo watoaji wa rushwa nono wale wale ni suala la muda tu. Naiona Home » Kifaru Motors Tanzania na wauzaji wengine wa magari ya kichina wakiipumulia Toyota Tanzania kisogoniKwani wewe huzioni, lifespan yake ni fupi mno...
Kwa toyota bado sana mkuu, huyu jamaa kashika soko la magari kwa sasa duniani na vyuma vyake vipo durable sio kama hao wachina. FAW, HOHO, HOWO nk ni miaka mitatu tu yanaanza kupumulia mirija, wakati MITSUBISHI anauza gari za 90s huko na zinapiga kazi kama kawaida. Ukija kwa SCANIA ndio usiseme, kuanzia trucks mpaka buses.Kuna yale yanaitwa Sullivan wanayo sana polisi duh body zake zinachoka utafikiri ni za fibre. Dunia inapokwenda mchina atazidi sana pata soko maana nchi nyingi zitafilisika na zitajikuta zinalazimika nunua vya mchina sababu ya bei ndogo ,hii ndoa ya Karimjee Jivanjee Toyota na serikali very soon inavunjika na kutakuwa na ndoa kati muuzaji wa magari ya kichina na serikali maana serikali itabidi ibane matumizi na hivyo talazimika kununua magari ya mchina. Kama ambavyo serikali miradi ya ujenzi inalazimika kumpa mchina na magari takuwa hivyohivyo na walivyo watoaji wa rushwa nono wale wale ni suala la muda tu. Naiona Home » Kifaru Motors Tanzania na wauzaji wengine wa magari ya kichina wakiipumulia Toyota Tanzania kisogoni
Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka huko
Ameanza USA
Next europe
Watu wanamwona mzee trump anakurupuka lkn yupo kwenye ushauri wa usalama wa Taifa lake
In ten years nchi nyingi za africa zitakuwa zinazalisha bidhaa nyingi hataitaji kuagiza bidhaa nyingi kutoka china
China ajiandae kisailolojia
Kaka kwa viongozi hawa wa ccm wanaopenda rushwa very soon toyota anaachwa sio sababu ya ubora hapana sababu ya bei chee, rushwa pia na itakuwa ni masharti watakayopewa na mchina pindi watakapoomba mikopo maana mchina now kapigwa pini soko la US na Ulaya kwa hiyo atalazimisha magari yake kuuzika nchi anazozipa mikopo kama umenotice now polisi wanatumia pick up za mchina tokea kampuni ya Great wall motors (GWM) na kwenye ule mkutano wa issue za energy wa africa uliofanyika Dar ndo yalikuwa magari ya polisi so kidogokidogo mchina anajipenyezaKwa toyota bado sana mkuu, huyu jamaa kashika soko la magari kwa sasa duniani na vyuma vyake vipo durable sio kama hao wachina. FAW, HOHO, HOWO nk ni miaka mitatu tu yanaanza kupumulia mirija, wakati MITSUBISHI anauza gari za 90s huko na zinapiga kazi kama kawaida. Ukija kwa SCANIA ndio usiseme, kuanzia trucks mpaka buses.
Ni kweli mchina atafanya vizuri kwa sababu soko lake ni la bei rahisi ila hana quality.
Eti hajajiandaaHuo wa kuwasha gropu tu bado tunanesa nesa ndio tuweze wa kucharg gari??............kwa maprofesa wako hawa kama kina mruma..............anakwenda kwenye kesi ya inchi anakwambia ajajiandaa why ulisafiri kutoka afrika mpaka ulaya??ajabu
Sijui kwanini wana roho mbaya hivyoBureaucracy ndio nyingi bongo. Mchakato tu wa mtu kufungua biashara unajikuta unamaliza nusu mtaji.
HaswaHigh quality at a reasonable price
Sio tukose wote ni wapate wao tu. Huoni wanavyotafuna kodi zetuSijui kwanini wana roho mbaya hivyo
Yaani tukose wote ama
Yaana Starmer hajui afanye niniKwa sasa China imekuwa na supply chain ya hali ya juu na high tech katika EV
Hata kampuni kubwa za Ulaya kama Mercedes Benz, BMW, VW, Stellantis wameanza kuwa na partnership na Chinese firms na suplliers ili wa access Chinese technologies kwenye EVs
Dunia inaenda kwa kasi sana leo Ulaya wanaomba joint venture na Mchina kwenye kuunda magari ya umeme
Ni jambo la kusikitisha sana.Kijana kasoma SUA lakini hana passion na alichosomea iwe ni kilimo au ufugaji anataka akae ofisini
Hii ni hasara kwa taifa na wamenunuliwa na pikipiki kabisa wawafikie wakulima huko mashambani
Wao wanagawana tu pesa za mafuta na TOs wa halmashauri
Issue ni kwamba kwenye kila initiative ya kutaka kujikomboa kiongozi huwaza atanufaikaje kwa haraka haraka hivyo akiona hanufaiki basi lazima apige vita hiyo intiative au hatoipa kipaumbele.Sijui kwanini wana roho mbaya hivyo
Yaani tukose wote ama