Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #61
AI Overview
+1
The 2025 BYD Leopard 5, which has a 2.0L engine, has a top speed of 180 km/h (112 mph). It can also accelerate from 0 to 100 km/h (0 to 62 mph) in 6.5 seconds.
Tatizo BYD haina speed
LC 300 kitu ina 260 km/hr
Usifanye mchezo na Landcruiser hasa LC 300, pia body ya BYD sio kabisa, kumbuka unauza gari pia kwa shape ya body, sasa BYD body ni kama Ponte iliyochangamka
Kwa DAR hakuna station ya kuchajia magari zaidi ya vituo vya kujazia gesi.....kwa kifupi hii technology ya gesi haina mpango kwasababu manufacturer wengi walikuwa na hybrid car, haya ndiyo magari yanatumika duniani hizi biashara za kijaza gesi kama unataka kupika chakula imepitwa na wakatiHivi hizi EV/hybrid bongo zipo? Kuna vituo vya kuchajia magari?
Mbongo anaamini katika kutengeneza ugumu kwenye process ili tu aonekane ni muhimu wakati ni fala tu. Yani hio milolongo sijui kamuone nani ipitie kwa nani wa wizarani. Kisha iende kule hio yote ndio huzalisha hata mianya ya rushwa. Mtu ku bypass huo mlolongo anahonga tu kisha jambo linaisha haraka. Na kwa kuwa hio process inaambatana na rushwa hawatakubali kuuondoa huo urasimu wa kijinga maana unawanufaisha.Sijui kwanini wana roho mbaya hivyo
Yaani tukose wote ama
Mkuu hivi gari kuna kampuni za china zinauza gari used za mchina kuja bongo? (I mean una uzoefu nazo?)namaanisha brand zao kama haval? maana kama bei itakuwa rahisi let say if kuna gepu la bei up to let say 40% compare na gari used za kijapani na if hayasumbui kwenye kuyatengeneza basi huenda ikawa ni deal safi kununua gari used za mchinaMbona Toyota Prado J250 wameiga body ya BYD leopard 5?
Kama ni body za magari BYD anazo kali huwezi kufananisha BYD Shark na Toyota Hilux
Hiyo speed ya 260km/hr utaitumia wapi? Mpango mzima kwenye chuma ni HP
labda ya chang'ombe tu mkuuSijui veta ipi bongo wanafundisha matengenezo ya EV?
Wote wanafundishana, hata akija mgeni kazini anafundishwa namna ya kuiba na kuomba rushwa.Mbongo anaamini katika kutengeneza ugumu kwenye process ili tu aonekane ni muhimu wakati ni fala tu. Yani hio milolongo sijui kamuone nani ipitie kwa nani wa wizarani. Kisha iende kule hio yote ndio huzalisha hata mianya ya rushwa. Mtu ku bypass huo mlolongo anahonga tu kisha jambo linaisha haraka. Na kwa kuwa hio process inaambatana na rushwa hawatakubali kuuondoa huo urasimu wa kijinga maana unawanufaisha.
Hio tabia ipo hata vyuoni kwa ma lecturers ambao wao wanaamini wakifelisha wanafunzi wengi makusudi ndio watapata ujiko. Total bullshit!!!
Ila ni wote hata wa chini ambae hapati chochote zaidi ya rushwa ndogo isiyo na maana tena laana kwake ila atakusumbua tuIssue ni kwamba kwenye kila initiative ya kutaka kujikomboa kiongozi huwaza atanufaikaje kwa haraka haraka hivyo akiona hanufaiki basi lazima apige vita hiyo intiative au hatoipa kipaumbele.
Mbona Toyota Prado J250 wameiga body ya BYD leopard 5?
Kama ni body za magari BYD anazo kali huwezi kufananisha BYD Shark na Toyota Hilux
Hiyo speed ya 260km/hr utaitumia wapi? Mpango mzima kwenye chuma ni HP
Wahaini kabisa pumbavuWote wanafundishana, hata akija mgeni kazini anafundishwa namna ya kuiba na kuomba rushwa.
Wapumbavu kama hawa huwa nawapa za uso
Anakuhoji maswali anayoyatoa mfukoni na sio za vitabu ili tu utoe chochote
Nakumbuka Bashe alisema kwa nia njema kuwa kila kitu kiwe jengo moja,
Sijui kama mlifanikisha.
Lakini ulaji pale pale haoni nchi inazidi kujifungia kwenye giza?
Leo hata pilipili huwezi kupeleka Ulaya maana utapamabna na vigezo kisa ni biashara ya mtu.
Ila hawaona kuna demand kubwa sana nje na serikali itapata mapato
Hawa ndio wa kufunguliwa kesi ya uhaini
Toyota Prado 150 zenye body kama BYD Leopard zimekosa soko kabisa na Toyota wamesitisha kutengeneza Prado zenye body hizo kama BYD Leopard, ulizia kwanini zimekosa soko, sbb ni body style..!!
So BYD Leopard hakuna namna utalinganisha na LC hata kidogo
Yeah uko sahihiHiyo gari kwa mara ya kwanza niliyona Congo kma wiki Moja hivi imepita
Ukija kwenye malori ya kichina ndiyo balaa Sana Kwa mfano HOWO hizi gari zina nguvu kubwa Sana ya kupanda milima mikali hata kwenye matope hayanasi kirahisi.
🤣🤣🤣Yaana Starmer hajui afanye nini
Anasema tutafanya biashara na wote China na US
Ila Trump anamwambia chagua moja mzee kawa kama chizi
Kaka kwa viongozi hawa wa ccm wanaopenda rushwa very soon toyota anaachwa sio sababu ya ubora hapana sababu ya bei chee, rushwa pia na itakuwa ni masharti watakayopewa na mchina pindi watakapoomba mikopo maana mchina now kapigwa pini soko la US na Ulaya kwa hiyo atalazimisha magari yake kuuzika nchi anazozipa mikopo kama umenotice now polisi wanatumia pick up za mchina tokea kampuni ya Great wall motors (GWM) na kwenye ule mkutano wa issue za energy wa africa uliofanyika Dar ndo yalikuwa magari ya polisi so kidogokidogo mchina anajipenyeza
Ndiyo wachina wanaforce tena si kitoto si unaona walivyojazana kariakoo wanauza yeboyebo, maua tena rejareja hivi unajua kama hayo ni masharti yanayoambatana na mikopo yao?Kwa hiyo jeshi la polisi Tanzania likitumia Land cruiser pickups Wajapan wamewaforce?
Likitumia Land Rover Waingereza wamewaforce sio?
Walipokuwa wakitumia Hyundai Wakorea waliwaforce?
Jeshi la polisi la Mexico wanatumia BYD, vipi nao China waliwaforce?
Russia wanatumia armored vehicles zilizotengenezwa China hapo vipi nao wamepewa masharti na China?
Jeshi la polisi Tanzania limeingia mkataba na GWM ya China
JWTZ na taasisi kadhaa za serikali nao wameingia mkataba na Yutong
Hivi ni vitu vya kawaida sana ni suala la mikataba tu kati ya wakala wa ununuzi wa magari ya serikali Tanzania na manufacturers hakuna cha kuforce mkuu
Mchina anatoa vitu quality acheni kukariri dunia haisimamimi watu wanakesha kufanya innovation huko China
Tutaanza kuyafanya haya mambo endapo serikali itabadili kodi kwa magari mapya kuwa bei ya chini na used kodi kuwa juuu. Vinginevyo style ni hii hiiWenzetu wakiona kitu kipya basi wana changamkia fursa
Ulaya tayari kuna mafundi wa magari ya umeme na pia kuna makampuni ukiishiwa chaji kama hakuna sehemu ya kuchaji unawaita wanakuja fasta
Sisi bado sana View attachment 3310223