Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

Bongo mchawi TRA
Mtawalaumu bure TRA wakati watunga sheria ndio chanzo
Kingine tafuta matapo ya nchi kwenye kodi za mafuta kwa mwaka then jiulize hawa watu hizo kodi wataziamishia kwenye nini iwapo uingizwaji wa mafuta nchini utashuka?
 
Ndiyo wachina wanaforce tena si kitoto si unaona walivyojazana kariakoo wanauza yeboyebo, maua tena rejareja hivi unajua kama hayo ni masharti yanayoambatana na mikopo yao?
Unaweza ukatuwekea hapa waraka wa hayo masharti ya mikopo?​
 
Used zipo kama BYD, Geely n.k tatizo ni kumpata dealership​
 
Tatizo bei, bila milioni 100+ hupati gari. Tusubiri used miaka kumi ijayo
 
Mbongo anaamini katika kutengeneza ugumu kwenye process ili tu aonekane ni muhimu wakati ni fala tu
Ni sawa na walimu wa bongo na lectrurers mavyuoni wanaamini pepa likiwa gumu akiwashika wanafunzi kwenye sup au wakafeli ndio ubora​
 
Jeshi la polisi halina historia ya kutunza magari yao hata yawe ni ya Toyota. Angalia zile Cruiser 70 series single cab zilivyochoka.
 
Abiria wanapenda kupanda basi jipya kila safari, sasa basi litoe huduma miaka 5 na zaidi nani atapenda kusafiri nalo?.
Makampuni makubwa yanauza baada ya miaka kadhaa, sasa hizo yutong zako miaka mitatu hazina kazi tena.
 
Mpaka kuanza kutengeneza magari yetu sijui itakuwa lini
Hata kuyaunganisha tu nchini labda bei zitashuka kiasi
Unajua tatizo ni nini, elimu ya vyuo vya ufundi imezaraulika sana na bado ina operate ki local using old technology in advance world.. nchi yeyote ya viwanda inategemea supply toka katika vyuo vya ufundi. Bongo supply ya elimu ya makaratasi ni kubwa kuliko demand ya ufundi stadi.

Ili tuwe na viwanda vingi venye kufanya mambo makubwa tunahitaji vijana graduate wa vyuo vya ufundi stadi wengi katika mapinduzi ya viwanda
 
Serikali haiko serious na haya.
Pia vijana wengi wanadhani kukariri darasani kutawatoa
Mlango ukivunjika kwake hawezi kupigilia msumari mpaka amuite carpenter.

Huu ndio ukweli ulioandika.
Hawataki kujifunza kwa vitendo
Mbona tuliosoma miaka ya 60 mpaka 70 tulikuwa tunagundishwa mengi kwa vitendo shuleni?
Na kulikuwa na vipindi kabisa tunakaa nje ya madarasa
Ila leo ni mwendo wa fimbo na kukaririshwa ili watoto wapasi na kujiona eti shule inafaulisha vijana vizuri sana

Nawahurumia sana vijana wanapoomba hata buku huku akiwa amesoma
Lakini hawezi hata kujifunza kazi za mikono kisa anaona aibu

Lakini kuomba haoni aibu very strange
 
Hapa tunaupia mwingi
 
Jeshi la polisi halina historia ya kutunza magari yao hata yawe ni ya Toyota. Angalia zile Cruiser 70 series single cab zilivyochoka.
GWM, au Sullivan zinawahi choka mapema mnooooooo huwezi fananisha na Toyota yeyote ile au Landrover yeyote ile. Kwa hiyo hata kama ukitunza kama yai still za mchina ndizo zitawahi kuchoka tena kuchoka mapemaa haswaaaa.
Ni ukweli ulio wazi sanaaaa inapokuja issue ya durability mchina lazima atokote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…