Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #101
Makampuni makubwa yanauza baada ya miaka kadhaa, sasa hizo yutong zako miaka mitatu hazina kazi tena.
Umewahi kutimia GWM?GWM, au Sullivan zinawahi choka mapema mnooooooo huwezi fananisha na Toyota yeyote ile au Landrover yeyote ile. Kwa hiyo hata kama ukitunza kama yai still za mchina ndizo zitawahi kuchoka tena kuchoka mapemaa haswaaaa.
Ni ukweli ulio wazi sanaaaa inapokuja issue ya durability mchina lazima atokote.
Iko wazi mbona yutong bei kitonga gari za mzungu bei mkasi mfanyabishara yeyote anataka faida kubwa ndani ya muda mfupi so lazima wahamie yutong, zhang tong, higer na mengine ya kichinaAbood na Shabiby walikuwa na Scania na Volvo. Kwa nini hawa matajiri wamehamia Uchinani Yutong?
Naziona Sullivan za polis body ka fibre kwa jinsi zinavyochoka mapemaUmewahi kutimia GWM?
Iko wazi mbona yutong bei kitonga gari za mzungu bei mkasi mfanyabishara yeyote anataka faida kubwa ndani ya muda mfupi so lazima wahamie yutong, zhang tong, higer na mengine ya kichina
Naziona Sullivan za polis body ka fibre kwa jinsi zinavyochoka mapema
Tanzania kila project wanaichukulia kama kichaka cha kupiga hela,kulikuwa na movement nyingi za kilimo mara kilimo kwanza,sijui kilimo uti wa mgongo....... kauli mbalimbali ila wamepiga hela na kukaa kimya. Ila ukitizama na hizi movement za AI ,future ya vijana wa Kiafrika ni Kilimo.Tanzania ina ardhi kubwa sana inayofaa kwa kilimo na ufugaji lakini iko idle
Kuna mkufunzi mmoja wa kanisa la RC alikuja Tanzania kutoa elimu ya kilimo kwa vijana alishangaa sana kuona ardhi kubwa ya Tanzania haitumiki kwenye kilimo
Marekani, Urusi, Brazil ni mataifa makubwa duniani kiuchumi lakini mojawapo ya exports zao kubwa zinazowaingizia billions of dollars ni agricultural products na nyama za kuku, ng'ombe na pork
Hapa Tanzania kijana ukimshauri kilimo au ufugaji anakuona una mawazo ya kizee
Na bado Tz inaimport tani kwa tani ya mafuta ya kupikia, nyama, mchele kutoka nje
Mbona Toyota Landcruiser zao hajichoki vibaya ka gari za mchina?Ni lini mapolisi wakatunza magari yao?
SahihiIla ukitizama na hizi movement za AI ,future ya vijana wa Kiafrika ni Kilimo.
Umewahi kuziona Cruiser zilivyochoka?Mbona Toyota Landcruiser zao hajichoki vibaya ka gari za mchina?
Hybrid zipo mkuu ila Public charging station ndio hatunaHivi hizi EV/hybrid bongo zipo? Kuna vituo vya kuchajia magari?
Ukitaka kujua umuhimu wa elimu za vyuo vya ufundi tembalea nchi zilizoendelea, ndio utajua umuhimu wa hiyo sekta katika viwanda.Serikali haiko serious na haya.
Pia vijana wengi wanadhani kukariri darasani kutawatoa
Mlango ukivunjika kwake hawezi kupigilia msumari mpaka amuite carpenter.
Huu ndio ukweli ulioandika.
Hawataki kujifunza kwa vitendo
Mbona tuliosoma miaka ya 60 mpaka 70 tulikuwa tunagundishwa mengi kwa vitendo shuleni?
Na kulikuwa na vipindi kabisa tunakaa nje ya madarasa
Ila leo ni mwendo wa fimbo na kukaririshwa ili watoto wapasi na kujiona eti shule inafaulisha vijana vizuri sana
Nawahurumia sana vijana wanapoomba hata buku huku akiwa amesoma
Lakini hawezi hata kujifunza kazi za mikono kisa anaona aibu
Lakini kuomba haoni aibu very strange
Najua sana umuhimu wa ufundiUkitaka kujua umuhimu wa elimu za vyuo vya ufundi tembalea nchi zilizoendelea, ndio utajua umuhimu wa hiyo sekta katika viwanda.
Hii ni kitu nakikubali kutoka kwao.Kitu kimoja nawakubali wachina wanapiga kazi kinouma na hawakati tamaa kirahisi , nenda kawaone wachina kwenye biashara mbalimbali US utanipa jibu lako
India itakuwa wapi ?😅😅 Ten years to come China itarudi enzi za 80s
Let's count down
Achana na hizo nchi nyingine ambazo nikikuuliza hutotaja tuanze na US mpaka sasa wameondoa mitaji mingapi toka matamko ya huyo mwehu wako DT aanze kuropoka ?Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka huko
Ameanza USA
Next europe
Watu wanamwona mzee trump anakurupuka lkn yupo kwenye ushauri wa usalama wa Taifa lake
In ten years nchi nyingi za africa zitakuwa zinazalisha bidhaa nyingi hataitaji kuagiza bidhaa nyingi kutoka china
China ajiandae kisailolojia
Mtu aliyeko nyumbani ukimwambia haya hawezi kuamini.Najua sana umuhimu wa ufundi
Bongo miyeyusho ndio maana nilijuondokea miaka ya 70 na kuja kwa wajanja
Sasa unamuona amesoma na vyeti anavyo ila ajira hana na anaweza kuzunguka bila kazi hata miaka 2 au zaidiMtu aliyeko nyumbani ukimwambia haya hawezi kuamini.