Land Rover Defender DC100 concept.

Land Rover Defender DC100 concept.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Kwa wapenzi wa hizi gari kuna plani kuileta upya mtaani ambapo mwaka 2019 au 2020 Landrover defender itarudi mtaani. Land rover defender ilianza kuundwa mwaka 1983 mpaka uzalishaji wa aina hii ya gari ulipoachwa mwaka 2016.

Nakumbuka enzi hizo nikiliona najua Polisi ama mkuu wa Wilaya anapita (usiniulize wapi? 😀)

Land Rover Defender ya mwisho kuundwa ilikua kwenye kiwanda cha Solihull plant huko Uingereza, January 29, 2016. Picha yake ni hii hapa ⬇
last-land-rover-.jpg


Land Rover DC100 itakua hivi:

Land-Rover-Defender-coming-in-2020.jpg

lr_defender_5dr_lwb_aav_0_0_0.jpg

lr_defender_3dr_mt_aav2_0_0_0.jpg

Land-Rover-Defender-offroad.jpg

620x349.jpg
 
Kuna Landrover Santana ila zilizoka chache sana
 
Mi naona waboreshe ya zamani zitumiwe na wanajeshi.
Na muundo mpya huwe wa biashara
 
Aaah!hata mimi muundo mpya kwa difenda cjaukubali umekaa kitozi zaidi wkt difenda inaeleweka ni gari ya kazi toka enzi na enzi,hata jina lenyewe difenda limekaa kikazi zaidi!!
 
Huu muundo wanaotaka kutengeneza haufai. Inawezekana vipi Defender ikawa ina tabasamu? Gari inatabasam? No way... Waache masikhara waweke body zile zile za zaman za sura ya kazi. Hayo matoy sisi hatutak. Wanataka gar zote ziwe za kidemu? Hawatutendei haki sisi wanaume wababe.
 
Back
Top Bottom